Waandishi wa TZ na investigative journalisim

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Nauliza kwanini waandishi wa tanzania nao hawawai wabunifu na kuanza kutupatia makala za kiintelijensia ambazo zingejibu maswali mengi wanasiasa wanaowalisha wananchi.....



Moha wa jicho pevu ni mfano wa kuigwa kaja na majibu ya maswali mengi kwa wakenya......mohamedi ally wa tanzania yuko wapi?...
Hizi habari za ku ripoti sijui mwamedi shein kafanya vile,JK kaweka jiwe la msingi hazina faida yoyote kwa wananchi.....wananchi wanataka kusikia habari ambazo mpaka sasa zimeacha maswali......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom