Volkswagen Polo TSI

Oxpower

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,146
3,020
Kwa wenye uzoefu na gari tajwa hapo juu.

Ni ya 2012
Cc 1200

Kiufupi sina uzoefu na magari zaidi ya kuendesha ya watu,nmetokea kuipenda muonekano wa hii gari na kuna mtu anaiuza,sasa kabla sijafanya maamuzi ya kuichukua naomba kufahamishwa yafuatayo

1. Bei yake kuagiza mpaka naingia nayo barabaran.

2. Ground clearance yake inafaa rough road?

3. Fuel consuption

4. Upatikanaji wa vifaa.

5. Mafundi wake kwa Tanzania wapo wengi?

6. Je, usumbufu wake mkubwa upo kwenye nini haswa?

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Nb:bajeti yangu ni 10m,
Kabla sijakutana na huyu mtu wa volkwaggen.nilikua nataka kununua gari kati ya hizi,naziandika kutokana na priority
1.premio
2.allex
3.runx
4.allion

Sasa huyu wa volkswagen namfahamu japo gari sijaiona,ila anaitumia mke wake na hana mizunguko kiivyo pia toka inunuliwe haina muda sana ,sasa ndio amenishtua kwamba nikitaka naweza ichukua hiyo,nishaurini wakuu

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Katika hizi nne ipi ipewe kipaumbele na kwa sababu zipi.nb itakua ndio gari yangu ya kwanza kumiliki

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Kwakua unataka kuchukua kwa mtu achana na hiyo polo, labda ingekua una agiza nje apo sawa. ushauri wangu anza na premio ukisha pata experience ya magari then vuta pumzi kaza kamba nunua hiyo polo yako nje
 
Shukrani kwa ushauri kiongozi,na je hivi kuna utofauti gani kitalam kati ya premio na allion maana sokon kama premio bei imechangamka kuliko allion

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Kwa wenye uzoefu na gari tajwa hapo juu.

Ni ya 2012
Cc 1200

Kiufupi sina uzoefu na magari zaidi ya kuendesha ya watu,nmetokea kuipenda muonekano wa hii gari na kuna mtu anaiuza,sasa kabla sijafanya maamuzi ya kuichukua naomba kufahamishwa yafuatayo

1. Bei yake kuagiza mpaka naingia nayo barabaran.

2. Ground clearance yake inafaa rough road?

3. Fuel consuption

4. Upatikanaji wa vifaa.

5. Mafundi wake kwa Tanzania wapo wengi?

6. Je, usumbufu wake mkubwa upo kwenye nini haswa?

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Magari ya Mjerumani chukua ukiwa na gari ndani mbili au moja. Anza na Toyota
 
Oxpower anataka ushauri kati ya Allion na premio achukue ipi
Achukue Premio iko na Re-Sale value ya juu kuliko Allion.

Basically, its the same car with almost the same drivetrains. Tofauti ni Styling tu na purpose.

Allion is for sports lovers. Watu wanaopenda kukimbia na gari Allion ndio iko designed kwa ajili hio. Ina stiff suspension therefore iko solid barabarani na hata ukienda na high speeds inatulia. Predecessor ni Toyota Carina.

Premio yenyewe ni semi luxury sedan. Yenyewe iko more comforting na ina softer suspensions. Ni kwa ajili ya wastaarabu barabarani. Predecessor ni Toyota Corona.

To make things easy ni kwamba hizi gari ni sawa na ku compare crown royal saloon na crown athlete. Oxpower
 
Kwaiyo hizo za toyota una uhakika gani zimekuwa na record nzuri za matunzo.. Unaweza kuta Polo TSI inakwa na maisha marefu kuliko hizo mnazopigia debe..
Inawezekana Mkuu ila wa bongo wengi utunzaji wetu wa gari za kizungu ni mtihani , kingine wazoefu wa hizi gari hua wana shauri mtu kama gari yake ya kwanza kumiliki aanze na mjapan hasa Toyota
 
Back
Top Bottom