Vitabu 14 viliondolewa kwenye biblia, Vatican imeficha nini, ilikusudia Dunia isijie nini?

Mawematatu

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
468
603
Niende kwenye hoja.

Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books".

Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa kwenye bibilia
 
tunasubiri....
 
Vitabu vilivyogunduliwa vilikuwa vitabu vingi lakini si vitabu vyote vilikuwa na sifa ya kuingizwa kwenye Biblia .
Hakuna sifa ya wachache kwaajili ya wengi. Hivi vilivyopo sasa wamefanya modification kwasababu IQ ya wale wahusika ilikuwa ndogo hivyo vimekuwa hijacked. Ila vile vingine vilivyoondolewa hamna namna ya kumodify kwasababu IQ ya wale ni bestest of the bestest.

#learnthefact
 
Niende kwenye hoja.

Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books".

Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa kwenye bibilia
Kabla ya kiwalaumu wavatican kumbuka bibilia yao Ina vitabu 72. Wahoji kwanza wasabato na madhehebu ya prostant yenye bibila ya vitabu 65 tu ambavyo wamefuta vitabu 7 vya
1.Tobiti
2.Yudithi
3.Hekima ya seleman
4.Yoshua bini Sira
5.Baruku
6. Makabayo 1&2

Je wanania gani na waumini wao?
 
Mwaga nondo bakulutu
 
Kama viliandikwa kwa uwezo wa roho mtakatifu,Vatican ni nani kuvikataa!?
Havikuwa na Roho Mtakatifu ndio maana. Alafu vilijaa errors kibao. Kuna kitu kinaitwa magisterium kipo tangu agano la kale agano jipya ilianzia na wale mitume 12, hao ndio walikuwa wanakaa wanasali na kupewa sauti na roho wa Mungu.

Sasa hao watu walikuwa katika kanisa la kwanza ambalo ndio katoliki na ndio maana vitabu vikawa 72. Sasa viranga ni kina Luther na waliofuata maana aliviondoa vitabu 6 ambavyo watu walikuwa wakivitumia kwa miaka 1500 Yani. Hakuwa na mamlaka wala nini ,kisa aliona havifuati mafundisho yake. Kwahiyo waprotestanti wanasoma kipande cha biblia tu.
 
Niende kwenye hoja.

Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books".

Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa kwenye bibilia
NILITEGEMA UNATAJA VITABU HIVYO KUMBE NAWE( )
 
Sio bibilia yao, hivyo ndicho bibilia halisi iliyotumika na wakristo wote kabla ya Luther kufyeka vitabu hivyo 6/7.
Kabla ya kiwalaumu wavatican kumbuka bibilia yao Ina vitabu 72. Wahoji kwanza wasabato na madhehebu ya prostant yenye bibila ya vitabu 65 tu ambavyo wamefuta vitabu 7 vya
1.Tobiti
2.Yudithi
3.Hekima ya seleman
4.Yoshua bini Sira
5.Baruku
6. Makabayo 1&2

Je wanania gani na waumini wao?
 
Sielewi Sana Tatizo la sisi watanzania....
Unapoleta mjadala uweke vyema sio kudonoa mambo...

Nafikiri Tungeanza na Historia ya Ukristo/Kanisa...kwa sababu Biblia ni zao la Hii hoja.

Huu ungepaswa kuwa Mwanzo wa Mjadala huu.
 
Hawatakagi huko. Hasahasa waprotestanti.
 
Unajua vitu vingine bwana vinachekesha sana.....kabla ya kuwalaumu Vatcan kwa kupunguza kwanza wapongeze kwa kukuletea biblia. Biblia ipi unayoijua wewe iliyokuwa na vitabu vyote hivyo mpaka useme walipunguza?
 
Kabla ya kiwalaumu wavatican kumbuka bibilia yao Ina vitabu 72. Wahoji kwanza wasabato na madhehebu ya prostant yenye bibila ya vitabu 65 tu ambavyo wamefuta vitabu 7 vya
1.Tobiti
2.Yudithi
3.Hekima ya seleman
4.Yoshua bini Sira
5.Baruku
6. Makabayo 1&2

Je wanania gani na waumini wao?
Biblia takatifu ina vitabu 66. Vitabu 39 kutoka agano la kale na 27 katika agano jipya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom