Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,967
- 36,996
Nauliza tu wazee,
Nimecheki kwangu CRDB naona maluelue tu hamna fedha. Vipi kwenu tayari?

Ahahaha😭😭😭Watu tushamaliza, usitukumbushe majonzi
Ulijaza PEPMIS?🤣🤣🤣🤣🤣📌🪑💺🪑💺🎶🎶🎶Nauliza tu wazee,