#COVID19 Vipi hali ya covid-19 pande hizo?

beevenom

JF-Expert Member
May 1, 2017
313
430
Wadau habari ya mapambano,naomba kujua hali ya corona ipo vp hapo mitaa yenu, home kwangu familia nzima imepigwa na mafua makali sana.

Na kwa upande wa wife dalili ndo kama zile za awamu ilee yaani mafua seriou, homa na maumivu ya mwili.

Naomba kuwasilish
 
Wadau habari ya mapambano,naomba kujua hali ya corona ipo vp hapo mitaa yenu, home kwangu familia nzima imepigwa na mafua makali sana. Na kwa upande wa wife dalili ndo kama zile za awamu ilee yaani mafua seriou, homa na maumivu ya mwili.

Naomba kuwasilish
Korona ilikuwa inamtafuta mtu mmoja tu, na yenyewe ikaondoka na haijarudi tena.
Nduli katili mwendazake
 
Wadau habari ya mapambano,naomba kujua hali ya corona ipo vp hapo mitaa yenu, home kwangu familia nzima imepigwa na mafua makali sana. Na kwa upande wa wife dalili ndo kama zile za awamu ilee yaani mafua seriou, homa na maumivu ya mwili.

Naomba kuwasilish
Mafua huwa na tabia ya kusababisha homa kali na maumivu ya kichwa. Achana na mambo ya corona
 
Huku nilipo imekuwa kama mafua tu na juzi jamaa kaja kazini ana Corona amepima ni yenyewe
Ila kwa sababu wote tulichanja kinga hakuna aliepata mpaka sasa

Tumekubali kama kikohoo tu kwa sasa ila kama hukuchanja itakuumiza
 
Huku huko, wapi kwani ukitaja eneo na wilaya kuna tatizo?
 
Duu nilipata mafuu makali sana na homa kali last week na dalili zote corona lakini haikunijia akilini haraka haraka kama ni corona. Ila baada ya juuona huu uzi naamini kabisa ile ilikuwa corona.
 
Aisee hii kitu itakuwa bado ipo...hapa nimepatwa na mafua na homa kali mwili unachemka balaa ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom