Viongozi mbio za Mwenge,msijipe majukumu msiyoyajua!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,735
2,265

Its intellectually dishonest kwa mtu kujidai unafahamu kila kitu alimradi kuteuliwa kukimbiza mwenge.

Huyu kada anayepima ubora wa barabara kwa kuipiga sululu kimsingi anaonyesha ujuha wa kile asichokijua.

Wakimbiza mwenge inabidi waambiwe kile wanachitakiwa kufanya, la sivyo wameshaonyesha kuwa ni vichekesho.
 
MODS naomba mnisahihishie heading, ...viongozi...... n.....msiyoyajua.
 
Nilikuwa najiuliza huyo jamaa anafanya nini hapo.....mambo ni mengi
 
Wakimbiza mwenge wa mwaka jana na wa mwaka huu wanajifanya wajuaji sana . Hivi bara bara inakaguliwa kwa kuchimbwa na sululu? Wanabahati wanakutana na viongozi wa wilaya wasiojielewa wanashindwa hata kujibishana nao.
 
Ukweli ni kwamba wamejionyesha hadharani kuwa ni mazumbukuku!

Wanauaibisha Mwenge wa Mwalimu Nyerere, an original thinker.
 
Back
Top Bottom