Vifaru Abrams vya Marekani vyaondolewa vitani Ukraine baada ya kuchomwa mno na droni za Urusi

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,921
15,613
Marekani yasema kuwa imekubaliana na Ukraine kuondoa vifaru vyake vya Abram kwenye uwanja wa vita na Urusi huko Ukraine.

Uamuzi huo wa kuondoa vifaru hivyo vinavyodaiwa kuwa ni namba moja kwa ubora duniani na vilivyofanya vizuri kwenye vita ya Afghanistan dhidi ya wanamgambo wa kitalibani umejiri baada ya Ukraine kulalamika kuwa majeshi ya Urusi yamekuwa yakitumia droni za bei chee kuvinywa (kuvichoma) vifaru hivyo vya gharama mbaya.

Aidha Ukraine ikaongeza kuwa vifaru hivyo maarufu vya mMarekani vimekuwa "useless" mbele ya droni za Urusi.
=====

Associated Press

Ukraine pulls US-provided Abrams tanks from the front lines over Russian drone threats​

TARA COPP
Fri, April 26, 2024 at 2:23 AM GMT+34 min read

2d91decef1ede287baa47851c8953228

FILE - Secretary of the Army Christine Wormuth looks over the latest version of the M1A2 Abrams main battle tank as she tours the Joint Systems Manufacturing Center, Feb. 16, 2023, in Lima, Ohio.

WASHINGTON (AP) — Ukraine has sidelined U.S.-provided Abrams M1A1 battle tanks for now in its fight against Russia, in part because Russian drone warfare has made it too difficult for them to operate without detection or coming under attack, two U.S. military officials told The Associated Press.

The U.S. agreed to send 31 Abrams to Ukraine in January 2023 after an aggressive monthslong campaign by Kyiv arguing that the tanks, which cost about $10 million apiece, were vital to its ability to breach Russian lines.
But the battlefield has changed substantially since then, notably by the ubiquitous use of Russian surveillance drones and hunter-killer drones. Those weapons have made it more difficult for Ukraine to protect the tanks when they are quickly detected and hunted by Russian drones or rounds.

Five of the 31 tanks have already been lost to Russian attacks.

The proliferation of drones on the Ukrainian battlefield means “there isn’t open ground that you can just drive across without fear of detection,” a senior defense official told reporters Thursday.

The official spoke on the condition of anonymity to provide an update on U.S. weapons support for Ukraine before Friday's Ukraine Defense Contact Group meeting.

“When you think about the way the fight has evolved, massed armor in an environment where unmanned aerial systems are ubiquitous can be at risk," Grady told the AP in an interview this week, adding that tanks are still important.
 
yule generali aliyeondolewa alisema waziwazi vita imefikia kwenye stalemate (ikiwa na maana haiwezekani kubadili matokeo yaliyokwisha tokea),..... zele na washauru wake wakamwondoa!

hata hizo silaha wanazoletewa hazitaleta mabadiliko makubwa, NATO watajaribu kuua wanajeshi wengi wa urusi, na sio kushinda vita maana tayari vita ilishaisha
 
Huyo Generali nasikia ametokomea kusikojulikana.
 
yule generali aliyeondolewa alisema waziwazi vita imefikia kwenye stalemate (ikiwa na maana haiwezekani kubadili matokeo yaliyokwisha tokea),..... zele na washauru wake wakamwondoa!

hata hizo silaha wanazoletewa hazitaleta mabadiliko makubwa, NATO watajaribu kuua wanajeshi wengi wa urusi, na sio kushinda vita maana tayari vita ilishaisha
Uko sahihi kabisa kiongozi.
Ukraine+NATO Kwa Sasa na kuendela kazi Yao kubwa ni kuitia hasara TU Urusi kwa maana ya manpower na materials lkn sio Kwa lengo la kushinda vita.
Wanajitahidi kwa kadri watakavyoweza kupiga melivita na ndegevita za Urusi,askari na hata miundombinu ya kiraia ya urusi.
Tofauti na Urusi anapopiga miundombinu ya Ukraine ni Kwa lengo la kushinda vita.
 
Dah niliwahi kuwaambia best tanks za kimagharibi hizo sijui Tiger, Abrams, na leopard ni silaha nzito tu dhidi ya adui dhaifu lakini sio dhidi ya Urusi.
Kule Afghanistan wamagharibi walionesha kuwa hizo ni silaha Bora coz Taliban walikuwa wakitumia RPG ambazo ni poor dhidi ya Abrams lakini Leo wanakutana na kigongo Kuna mashambulizi ya Kornet ATGM, Kuna artillery fire, na Kuna hizo drone .
 
yule generali aliyeondolewa alisema waziwazi vita imefikia kwenye stalemate (ikiwa na maana haiwezekani kubadili matokeo yaliyokwisha tokea),..... zele na washauru wake wakamwondoa!

hata hizo silaha wanazoletewa hazitaleta mabadiliko makubwa, NATO watajaribu kuua wanajeshi wengi wa urusi, na sio kushinda vita maana tayari vita ilishaisha
Vita iliisha lini?
NATO wako vitani wanaua wanajeshi wa Urusi?
 
Unasifu silaha zako kwa kupigana na wanamgambo, sifa ya silaha za wamagharibi ni kwamba zinapambwa sana ili ziwe na bei kubwa, huku za mrusi bei ya kawaida ila uhakika wakutimiza jukumu lake kwa hio bei ni uhakika
Nashangaa, ati unafanya majaribio ya silaha zako dhidi ya wanamgambo wanaotumia Gobore!!🤣🤣 kisha unazimwagia sifa kem kem🤣🤣
 
Back
Top Bottom