SOLD: Vifaa vya saluni vinauzwa vyote

Duuh unakuta mtu ulikuwa na mtaji wako wa ngama alafu unawekeza mambo yanaenda kombo unaamua kuuza Kila kitu - nawaza tu
 
Vifaa vya saluni vipo kwenye hali nzuri.
Saluni ya kike inauzwa imekaa miezi mitatu tu.
1.Viti vya saluni kimoja 70,000 vipo vinne
2. Dryer ya juu mpya haijatumika sana 230,000
3. Dryer ya chini 120,000
4. Steamer 120,000
5. Vioo na vi kabati vya kuwekea dawa 150,000
6. Kikabati cha kioo 50,000
7. Storage bench 100,000 zipo mbili
8. Make up mirror 600,000
9. Viti vya make up 90,000 kimoja vipo viwili
10. Dawa za nywele na essentials zote 300,000
11. Roller stand 50,000
12. Kiti cha kuoshea nywele 350,000
13. Kiti cha kucha 100,000
14. Kucha za gel zipo 30 na machine za kucha zote kwa pamoja 400,000
15. Kabati kubwa jeupe la kutunzia vitu 250,000
ila kama mtu anachukua vyote kwa pamoja bei inapungua. Nashauri mteja aje mwenyewe akague vitu. Ni vipya..

Bei kwa mtu anaechukua vyote jumla ni 3,200,000 hapo nimetoa punguzo la zaidi ya shillingi 300,000 mtu akichukua vyote.

Mawasiliano 0654465446


View attachment 2277921
Kwanini unauza
 
Vipi unahama nchi au wewe ajira mpya umepangiwa kigoma na unaishi dsm.?

#MaendeleoHayanaChama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom