Video: Rubani wa Ethiopian airlines aliomba ruhusa kuizunguka mlima Kilimanjaro akapewa

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,293
30,878
Mzuka wanajamvi!

Rubani wa Ethiopian Airlines alipokaribia kutua KIA anga ilikuwa wazi na mawingu hayakuwepo. Akauona Kilimanjaro haraka akawaomba flight controllers KIA wamruhusu auzunguke wakamkubalia nakuwashtua abiria. Ilikuwa furaha kila mtu kwenye ndege ooh my God.

The majestic Kilimanjaro our national pride!
 
Ukute hata kuendesha gari hamjui lakini hapa mnamuona rubani na tower controllers hawana akili kuliko nyie!!! Hivi kwa akili zenu mnadhani huyo rubani na tower controllers walikuwa hawajui wanachofanya?! Hivi kwa akili zenu, endapo wangeona kuna risk wangefanya walichofanya? Risk kubwa kwa Mt Kilimanjaro au mlima wowote ule ni ukungu! Kwa mnavyoona hizo clips kuna ukungu wowote kileleni?
Hata hizo ajali sometime unaaminishwa ni Tatzo,si zote huwa hivyo,zingine ndo uzembe/sifa kama hizo
 
Back
Top Bottom