Video: Rais acheza wimbo wa Tyla

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,697
12,437
Rais was Afrika kusini Cyril Ramaphosa ameonekana akicheza wimbo maarufu wa ‘water’ ulioimbwa na msanii wa nchi hiyo Tyla.

Ikumbukwe pia mwaka huu Msanii Tyla ameshinda tuzo kubwa duniani za Grammy awards kama Best African Music Performance kupitia wimbo wake huo wa ‘water’.
 
View attachment 2900647

Ikumbukwe pia mwaka huu Msanii Tyla ameshinda tuzo kubwa duniani za Grammy awards kama Best African Music Performance kupitia wimbo wake huo wa ‘water’.
Hili bonge jinga linatingisha matako. Badala ya kumchezesha Rais kilume ndago.
 
Hichi kitoto cha 2000 kina imba aisee, me nlikuwa sikijui, sasa leo nimerud nyumbani mapema me sio mtu wa tv kivile nkasema let me tune in into mtv, you know sometimes you gat to see tv commercials you dont see when you are not at home. Aisee kanaimba bwana
 
Mnike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom