VIDEO HAMAS AKIWASHAMBULIA KWA KISU POLISI KATIKA MJI WA YERUSALEMU

Yuda Legacy

JF-Expert Member
Jun 21, 2023
548
1,792
(Tahadhari) Video ikimuonesha mwanamgambo wa hamas akiwashambulia kwa kisu polisi walio kuwa wanapita katika mitaa ya Yerusalemu lakini kwa bahati nzuri au mbaya kwa mwanamgambo huyo amepigwa risasi katika purukushani hizo.tukio hili limetokea Jana Saa Kumi Na Moja

Lakini kitu cha ajabu ni kwamba mtoto wa raisi wa uturuki erdogan amesifu tukio hilo alilo lifanya mwanamgambo huyo wa hamas katika ukurusa wake wa X.

Swali la Kujiuliza Je Polisi WOTE Hawa wawili wameshindwa kumdhibiti huyu Hamas wakati anatumia Silaha Nyepesi ambayo ni kisu Tu bila kutumia Silaha za moto?.
IMG_20240501_101918_865.jpg
 
Nani kakwanbia kisu ni silaha nyepesi, yeye sialitaka kuuwa sasa unachosikitika nini walipommaliza
 
(Tahadhari) Video ikimuonesha mwanamgambo wa hamas akiwashambulia kwa kisu polisi walio kuwa wanapita katika mitaa ya Yerusalemu lakini kwa bahati nzuri au mbaya kwa mwanamgambo huyo amepigwa risasi katika purukushani hizo.tukio hili limetokea Jana Saa Kumi Na Moja

Lakini kitu cha ajabu ni kwamba mtoto wa raisi wa uturuki erdogan amesifu tukio hilo alilo lifanya mwanamgambo huyo wa hamas katika ukurusa wake wa X.

Swali la Kujiuliza Je Polisi WOTE Hawa wawili wameshindwa kumdhibiti huyu Hamas wakati anatumia Silaha Nyepesi ambayo ni kisu Tu bila kutumia Silaha za moto?.
Hapo angekita kisu cha shingo na kuwahi bastola bila shaka angemuua na askari wa pili.

Ambacho kingefuata hapo ni kuchukua hizo bunduki na kuanza kuua raia. UMEWAZA HILO?
 
  • Thanks
Reactions: FWC
Vitoto vya kipalestina vinafundishwa chuki dhidi ya israel vingali vidogo. Chuki itawaumiza
 
Vitoto vya kipalestina vinafundishwa chuki dhidi ya israel vingali vidogo. Chuki itawaumiza
 
Swali la Kujiuliza Je Polisi WOTE Hawa wawili wameshindwa kumdhibiti huyu Hamas wakati anatumia Silaha Nyepesi ambayo ni kisu Tu bila kutumia Silaha za moto?.
Bila ya US! Israel hawana uwezo wa kumdhibiti hata mtoto mchanga wa Palestine. Ushoga umewaumiza sana wazayuni.
 
We kweli kiazi unakijua kisu vizuri au unarahisisha mambo kisu ni siraha hatari sana kama mtumiaji anajua kunitumia vizuri
 
Back
Top Bottom