Uzi gani wa JF ulikuvutia na unatamani kila mtu apate nafasi ya kuusoma

Uzi wa Siku ya kwanza kupanda Ndege ilikuaje na uzi wa jiji la New York City Marekani waliamua ,pia uzi wa kuhusu kufikisha miaka 40, pia uzi wa wenye iphone wanajikuta ,uzi wa kuhusu UTT Amis pamoja na kuhusu kupata passport ukatafute maisha ughaibuni nazipenda sana hizi nyuzi
 
My best creation ever. Kabla sijaanza kuvuta bangi, akili niliyotumia kuandika huu uzi sijui niliitoa wapi😎
Likes Received 490.
My best creation ever. Kabla sijaanza kuvuta bangi, akili niliyotumia kuandika huu uzi sijui niliitoa wapi😎
Likes Received 490.
Mkuu huu uzi wako ulifungua ubongo wangu sana. Upewe maua yako mengi hakika akili yako hapa ilitulia
 

Huu Uzi Wangu Bora Kuliko Yote Hapa JF Una Mafunzo Makubwa Sana, Kama Kijana Mpambanaji Basi Tembelea Huu Uzi Hutakosa Madini.
 
Honestly huku ndio tumefika sa hivi,mtoa mada katoa wazo zuri sana la ku-summurize nyuzi bora za wakati wote zilizowahi kuletwa humu,lakini naona watu wanaleta nyuzi za masikhara. Binafsi kuna nyuzi za simulizi nazipenda sana,Kuna ile ya Khumbu,Simulizi za The bold karibu zote,Nyuzi ya mshana na mambo aliyoshuhudia wakati ameenda chuo cha Ma-monk,kuna nyuzi humu kuhusu UTT ilinishawishi nikaanza kusevu hela mpaka kwa mara ya kwanza nikafikisha 20 mil,Kuna nyuzi za Lala 1 story za weekend,sijui kapotelea wapi huyu mtu. Zipo nyingi kiukweli.
Tuwekee links za hizo nyuzi mkuu
 

Ni miongoni mwa nyuzi nilizowahi soma na kuzielewa sana. Mwandishi kaandika kwa umaridadi sana pia kaeleza madhila alopitia. Aliponikosha ni pale alipopitia magumu hasa baridi kali na kuwaza kuwa nn kimempeleka kule ilihal nyumban kunamazingira mazur ya joto
 
Back
Top Bottom