Utofauti wa mwonekano na Bei za Behewa SGR Kenya vs Behewa SGR Tanzania

The Palm Beach

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
840
1,729
FB_IMG_16703582909497035.jpg

✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...

=== BEI YAKE:

Ni KES 52.2m
kwa behewa moja sawa na TZS 980M

✓ CHINI
: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..

===BEI YAKE:

Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja

NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."

Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!

Msemaji wa serikali naye anayeitwa Gerson Msigwa hebu cheki anavyochanganya mambo na kuharibu zaidi..
IMG-20221210-WA0002.jpg

Yaani huu kweli kabisa ni Ufalme uliofitinika na mwisho wa falme kama hizi huwa ni anguko kuu...!

Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!

Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
 
View attachment 2438117
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...

=== BEI YAKE:

Ni KES 52.2m
kwa behewa moja sawa na TZS 980M

✓ CHINI
: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..

===BEI YAKE:

Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja

NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."

Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!

Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!

Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
Dawa ni kuipiga chini CCM ili tuwe na uhakika wa usalama wa kodi zetu
 
View attachment 2438117
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...

=== BEI YAKE:

Ni KES 52.2m
kwa behewa moja sawa na TZS 980M

✓ CHINI
: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..

===BEI YAKE:

Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja

NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."

Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!

Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!

Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
Jiulize hizo za kenya zinatumia umeme? Pia jiulize SGR ya kenya imeishia wapi? Hao wakenya wenyewe wanatushangaa tunavofanywa mazuzu na Kigwa mrupukaji
 
Ni mambo kama haya yanayoipa CCM na watu wake ujiko mkubwa.

Unapoleta habari ya kupotosha unawakingia kifua hawa mafisadi. Haihitaji kamwe kusema uongo ili kufanya watu wajue ubaya wa watawala wao.

Hizo picha hapo juu ulizoonyesha, hata kabla mtu hajasoma taarifa uliyoweka ndani yake inaonyesha uongo ulio wazi.
Hiyo SGR ya Kenya ilikuwa na mabehewa ya aina hiyo uliyoonyesha hapo juu?
Inakuwia vipi vigumu kutafuta tu picha halisi za vichwa na mabehewa halisi ambavyo vyote vinapatikana kiurahisi, lakini unaamua uweke uongo, kuwakingia kifua mafisadi!
 
View attachment 2438117
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...

=== BEI YAKE:

Ni KES 52.2m
kwa behewa moja sawa na TZS 980M

✓ CHINI
: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..

===BEI YAKE:

Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja

NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."

Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!

Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!

Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
Lakini hayo ya Kenya si niya mchina? Sisi si ni ya South Korea? Sasa utalinganishaje bei ya Samsung na ya Techno? Halafu haya ya kwetu si ni full automatic electrical wagons wakati yale ya Kenya ni manual diesel wagons? Yetu ni mafupi, hivyo center of gravity yake iko chini na hivyo ni ngumu kupinduka. Axle load ya wagons zetu ni tani nyingi zaidi. Hivyo bei yake kuwa mara 3 ya yale ya Kenya ni sahihi kabisa.
 
tafuta au waambie wahusika (TRC) waweke hizo 'specifications' unazodai wewe hapa au wamekutuma wewe uwawakilishe kama nani kwao?

Hata rangi wanashindwa kuchagua inayovutia macho?
 
Rangi ya Simba haikuvutii wewe? Ulitaka ya Yanga?
 
Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!

Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!

Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
Unaweza kutuambia ni kwanini hiyo unayodai ni ya Kenya umetumia picha safi na hiyo unayosema ya Tanzania umetumia picha yenye mabehewa makuu kuu?!

Btw, ni kwamba Kenya wamezitupa zile trains zenye sura kama treni za kubebea maiti, na hivyo wakanunua hizo ulizoonesha, ama?!
 
Back
Top Bottom