Mohamed Mokhbar ateuliwa kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,375
4,993
nr01i69g_iran-vice-president_625x300_20_May_24.jpeg

Who is Mohammad Mokhber, Iran's interim president?
By Reuters
May 20, 202412:19 PM GMT+3Updated an hour ago

Here are some key facts about Mohammad Mokhber, 68, Iran's first vice president who became interim president following the death of Ebrahim Raisi in a helicopter crash.
  • As interim president, Mokhber is part of a three-person council, along with the speaker of parliament and the head of the judiciary, that will organise a new presidential election within 50 days of the president's death.
  • Born on Sept. 1, 1955, Mokhber, like Raisi, is seen as close to Supreme Leader Ali Khamenei, who has the last say in all matters of state. Mokhber became first vice president in 2021 when Raisi was elected president.
  • Mokhber was part of a team of Iranian officials who visited Moscow in October and agreed to supply surface-to-surface missiles and more drones to Russia's military, sources told Reuters at the time. The team also included two senior officials from Iran's Revolutionary Guards and an official from the Supreme National Security Council.
  • Mokhber had previously been head of Setad, an investment fund linked to the supreme leader.
Advertisement · Scroll to continue
  • In 2010, the European Union included Mokhber on a list of individuals and entities it was sanctioning for alleged involvement in "nuclear or ballistic missile activities". Two years later, it removed him from the list.
  • In 2013, the U.S. Treasury Department added Setad and 37 companies it oversaw to a list of sanctioned entities.
  • Setad, whose full name is Setad Ejraiye Farmane Hazrate Emam, or the Headquarters for Executing the Order of the Imam, was set up under an order issued by the founder of the Islamic Republic, Khamenei's predecessor, Ayatollah Ruhollah Khomeini. It ordered aides to sell and manage properties supposedly abandoned in the chaotic years after the 1979 Islamic Revolution and channel the bulk of the proceeds to charity.
 
Wadau hamjamboni nyote?

According to kiongozo, he is next. Atashika madaraka for 50 days wakati wanafanya utaratibu wa kupata kiongozi mpya
 
Sababu ya hali ya hewa inayotolewa na vyombo vya habari kama ndio ilisababisha kutokea kwa ajali ya chopa sikubaliani nayo.

Hiyo hali mbaya ya hewa ilibadilika ghafla kiasi gani mpaka kusababisha ajali itokee? kwamba wakati safari inaanza hali ya hewa haikuwa mbaya?

Nijuavyo, ukungu huwepo muda mrefu angani, maeneo mengi yenye hali ya hewa ya baridi hili huonekana hasa asubuhi na jioni, sio kama wingu la mvua linaweza kutokea sasa na kuyeyuka baada ya muda mfupi.
 
Wewe tuletee sababu yako,ila najua itakuwa yankilokole tu
 
Sababu ya hali ya hewa inayotolewa na vyombo vya habari kama ndio ilisababisha kutokea kwa ajali ya chopa sikubaliani nayo.

Hiyo hali mbaya ya hewa ilibadilika ghafla kiasi gani mpaka kusababisha ajali itokee? kwamba wakati safari inaanza hali ya hewa haikuwa mbaya?

Nijuavyo, ukungu huwepo muda mrefu angani, maeneo mengi yenye hali ya hewa ya baridi hili huonekana hasa asubuhi na jioni, sio kama wingu la mvua linaweza kutokea sasa na kuyeyuka baada ya muda mfupi.
Mkuu Bora wewe umeshutka, hii 👆 kitu Bado ina maswali mengi sana
 
Sababu ya hali ya hewa inayotolewa na vyombo vya habari kama ndio ilisababisha kutokea kwa ajali ya chopa sikubaliani nayo.

Hiyo hali mbaya ya hewa ilibadilika ghafla kiasi gani mpaka kusababisha ajali itokee? kwamba wakati safari inaanza hali ya hewa haikuwa mbaya?

Nijuavyo, ukungu huwepo muda mrefu angani, maeneo mengi yenye hali ya hewa ya baridi hili huonekana hasa asubuhi na jioni, sio kama wingu la mvua linaweza kutokea sasa na kuyeyuka baada ya muda mfupi.
Mbona mwezi uliopita Kenya kafa mkuu wa majeshi kwa ajali ya helicopter tena kukiwa na hali ya hewa safi kabisa? Ukisikia Hasidi hana sababu ndio hii sasa.
 
Back
Top Bottom