Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,893
- 157,159
Duuh uzi umeunganishwa wakuuInashangaza ss kuna watu wanapenda kiasi kwamba wapo tayari kufanya lolote ili wapate hayo mamlaka makuu..
Hata ukiangalia kwenye vitabu vya Mungu...wale waliokuwa wanapenda madaraka ya juu walikuwa na mwisho mbaya, madaraka sio mazuri.