Utaratibu wa Mbunge kutoa taarifa Bungeni wakati wa mjadala unaendelea ufanyike kidijitali

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,303
4,380
Kama kichwa cha habari. Naona huu utaratibu wa mbunge kupiga kelele ' taarifa, taarifa, taarifa' una distract anayeongea.

Yaani mimi huwa hata siwaelewi, unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na hata usikivu kwa sisi wasikilizaji.

Nadhani hicho kipengele kiliwekwe kwa nia nzuri na Mabunge ya Jumuiya ya Madola(I stand to be corrected) ILA ni kama sisi tunakitumia vibaya.

Kwanini usifanyike kidijitali kiasi kuwa spika tu anaona kwenye ile screen yake ? Taarifa taarifa taarifa... na nyingine ni nonsense. Ndio maana msekwa alikiwa anapotezea - sio taarifa hiyo

Nimuombe Mh. Spika aliangalie hili, hakika linapunguza Afya ya Mijadala bungeni
 
Yaani mimi huwa hata siwaelewi,unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na hata usikivu kwa sisi wasikilizaji.

Nadhani hicho kipengele kiliwekwe kwa nia nzuri na Mabunge ya Jumuiya ya Madola(I stand to be corrected) ILA ni kama sisi tunakitumia vibaya.

Nimuombe Mh Spika aliangalie hili,HAKIKA linapunguza Afya ya Mijadala bungeni
 
Back
Top Bottom