UTAFITI: Ukweli kuhusu watumiaji wa JamiiForums

Mimi ni mkweli, kama nataka kusema jambo nasema bila kuficha.
Akiniruhusu nitawasimulia, ni love story moja ya karne!
Alaaa sasa si umuombe ruhusa ili uje usimulie, atakubali bwana as long as you hide hid ID
 
Naweza kukubaliana na tafiti yako mkuu.

Ujue wengi wetu tumeijua vyedi jf baada ya kusearch google mambo mengi unakuta inakudirect jf, so mtu unakua curious kuijua hiyo jf.

Sasa mtu ambae hasearch google(wengi wasio na elimu na sababu ya kusearch google) sio rahisi kuijua hii platform.
 
Nilijua JF baada ya kua redirected Google kipindi hicho na search mbili tatu kuhusu, udahili wa chuo, kozi gani nzuri, Boom, n.k..

Punguzeni ku andika vitu vya kipuuzi wa Search, Misambwanda nyeto wasiwe redirected huku..
Tukutane tuliokua redirected kwa kusearch vitu vya msingi ndio njia pekaa ya kuongea lugha moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom