USIPENDE KUIGA LUGHA ZA WATU

dadu

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
475
330
Wakuu habari zenu
Leo natoa onyo kwa wale wanaopenda kuiga lugha za watu wakati mwengine wanatukana hawajijui
Kuna jamaa yalimkuta alizamia meli akajikuta ametua ulaya baada ya kushuka melini alikuwa na njasma sana
Alitafuta hoteli na kuingia akakaa mezani na akaletewa menyu ilikuwa imeandikwa kwa kiingereza akaikodolea macho tu kwa kuwa hakujua ni aina gani za chakula kwa lugha za watu
Ikabidi acheze mchezo ule wa shule wa kuchagua maswali ya a b c d unafumba macho kidole kikitua kwenye herufi basi ndio jibu yeye akafumba machona kidole kikatua kwenye HOT PAPER muhudumu kupita akamuonye muhudumu akaleta kumbe ni pilipili kichaa sahani nzima
Yule bwana ilimshinda kula akaona mzungu anakula mikuku baada ya kufuta sahani muhudumu kupita akamwambia THE SAME mzungu akaletewa tena mikuku sahani nzima
Jamaa kuona vile nae alipopita muhudumu akamwambia the same akimaanisha aletewe sahani ya kuku nda muhudumu aleta tena sahani ya pilipili
Jamaa alisikika akifoka kuwa mzungu akisema the same aletewa sahani ya kuku mimi nikisema the same naletewa sahani ya pilipili mtaona silipi mimi wazungu akabaki wanamshangaa hawaelewi anachofoka ni nini?
Wadau tusipendebkuiga lugha ambazo hatuzifahamu maana

Naomba musicheke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom