USHAURI: Nafikiria kufungua duka la Vitasa tu Arusha mjini

Oct 25, 2021
98
98
Habarini,

Nimefikiria kuwa unique kidogo na kufungua duka litakalo deal na vitasa vya mlango aina zote.

Je niko sahihi kwenda na kufanya hii idea kupelekea kunitoa au nimespecialize sana kupelekea kuchoma mahindi tu.

Karibuni kwa mawazo yenu na njia mbadala ikiwezekana.
 
So inatakiwa nichanganye na makomeo, kufuri, bawba..ili ikae vizuri right?
Ndio Mkuu, we deal na Mlango mzima, lasivyo itakuwa mteja akija kwako anataka bawaba na kitasa Kisha akaskia bawaba hakuna, utaskia basi ngoja nikacheki paleee narudi kuchukua kitasa alafu Ndio mazima

Akifika huko anakuta bawaba na vitasa, sa Kwanini arudi Tena kwako? Labda awe ana ufahamu na Bei zako, ila mara nyingi wateja wanapenda kupata mahitaji yao sehemu 1, ili kuepusha usumbufu lakini pia waga wanaamini akinunua vyote sehemu 1 atapata discount
 
Ahsante mkuu hapo umenifumbua macho, Ubarikiwe kwa ushauri mkuu.
 
Ndio Mkuu, we deal na Mlango mzima, lasivyo itakuwa mteja akija kwako anataka bawaba na kitasa Kisha akaskia bawaba hakuna, utaskia basi ngoja nikacheki paleee narudi kuchukua kitasa alafu Ndio mazima

Akifika huko anakuta bawaba na vitasa, sa Kwanini arudi Tena kwako? Labda awe ana ufahamu na Bei zako, ila mara nyingi wateja wanapenda kupata mahitaji yao sehemu 1, ili kuepusha usumbufu lakini pia waga wanaamini akinunua vyote sehemu 1 atapata discount
Nafikiria pia niweke na bawaba na rollers za geti kabisa.. ni sideal na vya mlango wa mbao tu
 
Wazo zuri sana naomba ufanikiwe.
Vifaa vya kufix milango viko vya aina nyingi na vyenye ubora tofauti.

Kuna wakati tulikuwa tunahitaji vifaa hivyo kwa mlango
Kwa maana door locks,door hinges, door handle, door flash stopper, hydrolic door closer.
Iligharimu milion moja na laki mbili.

Kwa maana hiyo mtaji wake sio kidogo ili kuwa na duka la namna hiyo.
Lakini hakuna kinachoshindikana kwenye nia njema.
 
Ammmeeeeeen
..

Umeniongezea faida tele mkuu

Thankss
 
Wazo zuri sana naomba ufanikiwe.
Vifaa vya kufix milango viko vya aina nyingi na vyenye ubora tofauti.

Kuna wakati tulikuwa tunahitaji vifaa hivyo kwa mlango
Kwa maana door locks,door hinges, door handle, door flash stopper, hydrolic door closer.
Iligharimu milion moja na laki mbili.

Kwa maana hiyo mtaji wake sio kidogo ili kuwa na duka la namna hiyo.
Lakini hakuna kinachoshindikana kwenye nia njema.
Vp nikiongezea na bawaba za geti...Na rollers zake ..ni sawa eti??
 
Unapolenga kitu fulani nenda na mbele zaidi kwa sababu zama zimekua na mabadiliko ambapo bidhaa zinazozalishwa na mbao zinapungua sana.
Metal door aluminium door, fibre door zinashika nafasi sana.

Kwa hiyo ni vizuri sana kuangalia na engle hio pia.
 
Trust me, utatengeneza pesa sana, hakikisha tu una deal na mlango wote, accessories za mlango zote.
√ Vitasa vya milango ya mbao na mageti, kuanzia low quality to the highest quality.
√ Makomeo yote ya sizes zote
√ Bawaba sizes zote, Bawaba za milango ya mbao na zile za mageti...uwe na za kichina na hizi za Sido/Tanzania.
√Tairi za mageti sizes zote na rollers zake.
√ Kufuli sizes zote na ubora wote.
√ Uza pia discs za kukatia chuma na kunolea chuma.
 
Ahsante sana boss..umechukuwa muda wako kuelaborate..ubarikiwe mkuu
 
Habarini,

Nimefikiria kuwa unique kidogo na kufungua duka litakalo deal na vitasa vya mlango aina zote.

Je niko sahihi kwenda na kufanya hii idea kupelekea kunitoa au nimespecialize sana kupelekea kuchoma mahindi tu.

Karibuni kwa mawazo yenu na njia mbadala ikiwezekana.

Mkuu jifunze kufanya cheating business,kinyume na hapo utakuwa kila wiki unachachwa chale na waganga tofauti tofauti ili upate wateja,biashara ya kudeal na kitu kimoja inabidi ifanyike kwa ukubwa zaidi kupita maelezo kinyume na hapo ni apeche alolo
 
Wazo zuri ila tambua biashara ya kubdeal na vitu vya aina moja ni ya mtaji mrefu. kama kuna jamaa yupo hapa mjini yeye amemaliza kwenye vifaa vya bomba yani amemaliza. ila wazia kwenye system ya maji ndani ilivyo na vitu vingi kwanzia jikoni bafuni na chooni..kila la heri..
 
Habarini,

Nimefikiria kuwa unique kidogo na kufungua duka litakalo deal na vitasa vya mlango aina zote.

Je niko sahihi kwenda na kufanya hii idea kupelekea kunitoa au nimespecialize sana kupelekea kuchoma mahindi tu.

Karibuni kwa mawazo yenu na njia mbadala ikiwezekana.

Ubaposhawishika na jambo ukiwa mwenyewe is always a good idea, na unaposhika item moja ya Biashara 'specialization' probable Uta attract wateja wengi kwenye hiyo bidhaa maana watakuwa na option nyingi!

Tatizo la wabongo ni kuongea Sana, usiongee Sana, implement.
 
Back
Top Bottom