Ushauri: Biashara ya nguo kwa mtaji wa Tsh. 200,000

Huo mtaji mkubwa sana kama utakuwa unatembeza.
Kuna wanywaji wa bia nguo zao zote huwa wananunulia bar tu, usikose kupitia hayo maeneo mida ya jioni wakishalewa huwa sio wabishi kwenye bei kama kitu ni kizuri.
 
Akianza atajifunza meng na akiwa na uchu wa mafanikio atajua mambo mengi ubongo utatanukaa watu wanaaanzaa na mitaji midogo na wanatoboaa ila baada ya kujifunza kucheza game ya biashara..
 
Back
Top Bottom