USAHIHI: Gazeti la Mwananchi ni wapotoshaji, Ukweli wa alichokisema NAPE ni huu (VIDEO)

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
WP_20150623_018.jpg

Gazeti la Mwananchi la tarehe 23 June, 2015 kwa sababu zisizofahamika limeandika habari ya upotoshaji tena kwenye ukurasa wake wa mbele yenye Kichwa "NAPE: CCM ITASHINDA TU HATA KWA GOLI LA MKONO"

Katika habari hiyo ambayo Mwandishi amedai kunukuu maneno ya Nape aliyoyatoa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM, wilayani Sengerema, imedaiwa kuwa NAPE kwa kauli hiyo anatangaza kuwa CCM ina mpango wa kuiba kura katika uchaguzi mkuu ujao.

Ukweli wa maneno aliyoyasema Nape upo kwenye VIDEO hii

Huu ni mwaka wa uchaguzi, kwa waandishi na wanahabari huu ni msimu wa kalamu, kila jambo litaandikwa kwa maudhui tofatuti ikiwemo lengo kuu la kuhabarisha umma, lakini pia kwa manufaa ya watu ama kikundi cha watu (waandishi wenyewe ama watu wanaowatuma)

Kamwe haliwezi kuwa kosa la kalamu, bali itabaki kuwa kosa la Mwandishi na Chombo alichotumia kufikisha ujumbe huo. Ni vyema taaluma ikatangulia kabla ya kutanguliza maslahi binafsi..WANAHABARI na VYOMBO VYA HABARI ni muhimili muhimu katika maendeleo ya nchi lakini pia ni nyenzo muhimu ya kulinda Amani, Heshima na Hadhi ya Taifa na wataifa.
 
Last edited by a moderator:
yani umepanda jukwa lingine alafu unajaribu kutafsiri yale uliyoyasema awali na kukanusha.
pia umekiri kuwa goli ni goli tu hata kama la kidole.
bora unggekaa kimya Nape Nnauye umezidi kujitia aibu.
kama muandishi wa habari ni muongo hujashitaki gazeti??
Hiyo Video ni ya jana, na mwandishi katumia maneno hayo kuandika alichoandika, ni busara ya kawaida tu, ukiona watu wanadanganywa na unajua usahihi wa jambo hilo, ni vyema kuwasaidia na hicho ndicho nilichokifanya kwa kuwa naujua ukweli na ukweli halisi, nikaona nije niwasaidie ili nanyi muujue ukweli huo, unless uniambie umechagua kudanganyika kuliko ukweli huu ambao unaouna na kuusikia.
 
Utoe kauli wewe halafu uikane wewe!
CC.MwanaDiwani.

NB.UKAWA na wananchi wamekusikia na wanajiandaa kuzuia hilo ''bao la mkono''

Nasikia Babu Slaa alisafirishwa na Chama kwenda kuhudhuria semina ya mafunzo ya "uchakachuaji" Ulaya. Lakini kwa bahati mbaya alipewa masharti magumu ili kutekelezewa ombi lake aliloenda nalo..feeling sorry for the old man...!
 
Kwa anayemjua nape hatoshangaa kusikia maneno kama yale kutoka kinywani mwake, kichwa chake hukitumia kwa nadra sana
 
Usahihi unaotaka kutuonesha wewe ni upi?labda urudie kauli ya nape ya awali,maana hii video inaonesha nape anakanusha kwa kutafsiri alichokisema,mwandishi alikuwa sahihi.
 
Nasikia Babu Slaa alisafirishwa na Chama kwenda kuhudhuria semina ya mafunzo ya "uchakachuaji" Ulaya. Lakini kwa bahati mbaya alipewa masharti magumu ili kutekelezewa ombi lake aliloenda nalo..feeling sorry for the old man...!

Slaa anaingiaje hapa?naona hazikutoshi!
 
WP_20150623_018.jpg

Gazeti la Mwananchi la tarehe 23 June, 2015 kwa sababu zisizofahamika limeandika habari ya upotoshaji tena kwenye ukurasa wake wa mbele yenye Kichwa "NAPE: CCM ITASHINDA TU HATA KWA GOLI LA MKONO"

Katika habari hiyo ambayo Mwandishi amedai kunukuu maneno ya Nape aliyoyatoa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM, wilayani Sengerema, imedaiwa kuwa NAPE kwa kauli hiyo anatangaza kuwa CCM ina mpango wa kuiba kura katika uchaguzi mkuu ujao.

Ukweli wa maneno aliyoyasema Nape upo kwenye VIDEO hii

Huu ni mwaka wa uchaguzi, kwa waandishi na wanahabari huu ni msimu wa kalamu, kila jambo litaandikwa kwa maudhui tofatuti ikiwemo lengo kuu la kuhabarisha umma, lakini pia kwa manufaa ya watu ama kikundi cha watu (waandishi wenyewe ama watu wanaowatuma)

Kamwe haliwezi kuwa kosa la kalamu, bali itabaki kuwa kosa la Mwandishi na Chombo alichotumia kufikisha ujumbe huo. Ni vyema taaluma ikatangulia kabla ya kutanguliza maslahi binafsi..WANAHABARI na VYOMBO VYA HABARI ni muhimili muhimu katika maendeleo ya nchi lakini pia ni nyenzo muhimu ya kulinda Amani, Heshima na Hadhi ya Taifa na wataifa.

Kama unataka tuone usahihi wa clip yako hii basi ni vyema ukaweka clip ambayo awali alitamuka hilo goli la mkono
 
Last edited by a moderator:
Haya mambo magumu sana kwa mtu mwenye kupenda sana maana kuna vitu viwili ukiwa navyo akili haina nafasi kupenda sana na kuchukia sana jambo
 
Hakusema hayo maneno, huyu mwaandishi kashemsha hapo. Watu Kama huyu mwaandishi dhaifu ndio wanaipa nguvu serekali kumshawishi Raisi kusaini ule mswaada wa habari na mitaandao.

This is unacceptable ni lazima kuwashtumu hawa waandishi wanaochonganisha wananchi kwa kutumia kalamu zao watakavyo.
 
yani umepanda jukwa lingine alafu unajaribu kutafsiri yale uliyoyasema awali na kukanusha.
pia umekiri kuwa goli ni goli tu hata kama la kidole.
bora unggekaa kimya Nape Nnauye umezidi kujitia aibu.
kama muandishi wa habari ni muongo hujashitaki gazeti??

Safari siyo kujitia aibu tu amejivua nguo yeye na chama chake pamoja na aliyeko madarakani kwamba kazi waifanyayo ni kuchakachua.

Kwenye mahojiona ya redio alitamka NEC ni wakala wao,kwa leo kutamka haya sioni kama gazeti wamekosea ila amelinena lilo la kweli........
 
WP_20150623_018.jpg

Gazeti la Mwananchi la tarehe 23 June, 2015 kwa sababu zisizofahamika limeandika habari ya upotoshaji tena kwenye ukurasa wake wa mbele yenye Kichwa "NAPE: CCM ITASHINDA TU HATA KWA GOLI LA MKONO"

Katika habari hiyo ambayo Mwandishi amedai kunukuu maneno ya Nape aliyoyatoa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM, wilayani Sengerema, imedaiwa kuwa NAPE kwa kauli hiyo anatangaza kuwa CCM ina mpango wa kuiba kura katika uchaguzi mkuu ujao.

Ukweli wa maneno aliyoyasema Nape upo kwenye VIDEO hii

Huu ni mwaka wa uchaguzi, kwa waandishi na wanahabari huu ni msimu wa kalamu, kila jambo litaandikwa kwa maudhui tofatuti ikiwemo lengo kuu la kuhabarisha umma, lakini pia kwa manufaa ya watu ama kikundi cha watu (waandishi wenyewe ama watu wanaowatuma)

Kamwe haliwezi kuwa kosa la kalamu, bali itabaki kuwa kosa la Mwandishi na Chombo alichotumia kufikisha ujumbe huo. Ni vyema taaluma ikatangulia kabla ya kutanguliza maslahi binafsi..WANAHABARI na VYOMBO VYA HABARI ni muhimili muhimu katika maendeleo ya nchi lakini pia ni nyenzo muhimu ya kulinda Amani, Heshima na Hadhi ya Taifa na wataifa.

Huyo ni Nape Nnauye katika ubora wake. CCM ilipata wapi kilaza kama huyu?poleni CCM ntafanya kazi kubwa sana kusafisha makando kando ya huyu jamaa lakini kwa mimi naona kama its too late!
 
Last edited by a moderator:
Nasikia Babu Slaa alisafirishwa na Chama kwenda kuhudhuria semina ya mafunzo ya "uchakachuaji" Ulaya. Lakini kwa bahati mbaya alipewa masharti magumu ili kutekelezewa ombi lake aliloenda nalo..feeling sorry for the old man...!

Wewe nepi naye ni falla wa mwisho. Umelikoroga na utalinywa.
Kuhusu Babu.hahusiki na ushenzi wako. Na pia kati ya mababu mnaowalilia kuokoa lichama lenu mbona ni agemate na Dr Slaa? au nao unawa-adress Babu? Mwanaharamu ni mwanaharam haramu tu.
 
Back
Top Bottom