Usafiri, kwa mhitaji wa usafiri nijuze.

banburydude

Member
Jul 8, 2019
49
66
Wana jamvi wenzangu, Nina usafiri wangu binafsi natafuta abiria, tuwasiliane kama unahitaji au kuniunganisha kwa mhitaji % ipo, nipo Mbezi Makonde Dar es salaam..
Contact 0787711528.
 
Faragha, bei, usalama ndiyo Siri ya mafanikio kwenye biashara ya kukodisha magari.

Taja aina ya Gari.

Taja mahali ulipo. Unapatikanaje?

Taja uzowefu wako wa kuendesha gari.

Taja jinsia yako/ kama hautojali na umri wako pia.

Umesajiliwa kusafirisha abiria?

Gari yako Ina bima ya aina gani?
 
Weka Mambo Hadharani Upopatikana Wapi Na Gharama Za Usafiri Kwa Umbali Ama Makubaliano
Mtu Anaweza Kuwa Bunazi Huko Kemondo Bay Akitaka Usafiri Inakuwaje
Ama Kayanga, Omurushaka

Igangabhilili, Itilima
Hivi Bunazi iko kemondo au kyaka Missenyi
 
Ipo Hapo Kemondo Kwa Bashiru Ally Kakurwa

Kyaka Ndiyo Ipo Misenyi Kabla Hujavuka Mto Kagera
Kumbe lakini pia Wilaya missenye iko sehemu inaitwa Bunazi.......hivi huyu Bashiru Ally kakurwa ni Mrundi au Mnyarwanda? huku Dar anatuchanganya....
 
Sijawahi kujua kama neno 'nijuze' ni neno sahihi katika lugha yetu adhimu ya kiswahili. Labda 'nijulishe' ?
 
Kumbe lakini pia Wilaya missenye iko sehemu inaitwa Bunazi.......hivi huyu Bashiru Ally kakurwa ni Mrundi au Mnyarwanda? huku Dar anatuchanganya....
😂🤣😅😀Tanzania Pagumu Sana Yaani
 
sasa usafiri halafu husemi una usafiri gani? kuna pikipiki, bajaji, gari ndogo au Basi zote ni usafiri
 
Faragha, bei, usalama ndiyo Siri ya mafanikio kwenye biashara ya kukodisha magari.

Taja aina ya Gari.

Taja mahali ulipo. Unapatikanaje?

Taja uzowefu wako wa kuendesha gari.

Taja jinsia yako/ kama hautojali na umri wako pia.

Umesajiliwa kusafirisha abiria?

Gari yako Ina bima ya aina gani?

Asante mwanajamii.
Aina ya gari ni Daihatsu Terios
Napatikana Mbezi Beach Makonde namba nimetoa hapo juu,
Uzoefu niwakutosha, nimeendesha muda toka enzi za magari ya manual,
Jinsia ni mwanaume wa miaka 50+
Usajiri unakamiliki muda si mrefu,
Aina ya bima ni 3rd party.
 
Back
Top Bottom