Upi ni ukweli kati ya 'Lake Nyasa' na 'Lake Malawi'?

planboytz

New Member
Aug 6, 2023
2
0
146D65FC-B73E-498D-BEE6-EB889DEED6E8.jpeg
 
Hebu nenda kaangalie tena ramani. Malawi ndio inamiliki eneo kubwa kuliko Tz na Mozambique
Kweli?

Ngoja nicheki.

Kwa hiyo hawajatupunja sana siyo? Na sisi tuna Ziwa Tanganyika ingawa halimilikiwi na Watanganyika peke yao.
 
Kweli?

Ngoja nicheki.

Kwa hiyo hawajatupunja sana siyo? Na sisi tuna Ziwa Tanganyika ingawa halimilikiwi na Watanganyika peke yao.
Ilo ziwa ni mpaka wa nchi 3 tu, Tz, Mozambique na Malawi. Malawi ndio kachukua sehemu kubwa, maana upande wa Magharibi wote yupo yeye
 
Ilo ziwa ni mpaka wa nchi 3 tu, Tz, Mozambique na Malawi. Malawi ndio kachukua sehemu kubwa, maana upande wa Magharibi wote yupo yeye
Upo sahihi mkuu!
Sehemu kubwa ya Ziwa ipo Malawi ikifuatiwa na Tanganyika.

Acha tu liendelee kuitwa Lake Malawi kwa sababu na sisi tuna Lake Tanganyika.

Ila inaonekana ni Ziwa zuri. Ni kwa sababu tu ratiba yangu ilinibana kidogo mwezi March nilipokuwa Njombe. Nilitamani nifike hapo Ziwani, niyaguse na maji yake.

Nafikiri, mwaka huu nitakapoenda tena mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, nitafika na hapo Ziwa Nyasa.
 
Attachments

  • Road_Trip_to_Lake_Malawi__Nyasa(144p).mp4
    3.3 MB
Back
Top Bottom