eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,261
- 1,320
Wakili mmoja amefafanua kuwa kwenda mahakamani ni njia sahihi ya Wananchi kusikilizwa hasira zao kuliko kuwapuuza na baadaye ilazaliwa ghasia. AFRIKA Kusini Makaburu wakikataa kwa miaka mingi kusikiliza hasira za kuonewa, hatimae ghasia kuu iliyoambatana na mauaji ya kutisha ilitokea Soweto. CCM puuzeni tu na kuiita njia hii sahihi ya Wananchi kwenda mahakamani kuwa ni upuuzi halafu huko mbele kutokee SOWETO nyingine. Kwa kuwa mmenogewa na wizi, shupazeni shingo, lakini mbele Kuna Giza.upuuzi mtupu,
DPW wameshaingia na maandalizi yanaendelea....nyie potezeni muda huko kwenye kubishana or mkataba na makubaliano nini.
waelemishwe tofauti kati ya mkataba na makubaliano.
kazi iendeleee