Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

Bro nimehitimu Udom. Former VC Mr Idris Kikula nd DVC finance Mlacha. Walikua wadini balaa nakumbuka mwaka 2011. Walimteua Bw mmoja anatwa Issa awe Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi wa Serikali ya wanafunzi.

Wakampa directive wagombea wote wawe Waislamu tu nae akakata Wakristo wote akaacha mmoja fala hivi wa CCM akijua wanachuo hawachagui pro CCM ikatokea ghasia kubwa kati ya waslamu na Wakristo wanafunzi walijeruhiana sana.

Ni vile watu wa state walizuia media kuripoti na social media hazikuwa na nguvu kama Leo.

Sent using Jamii Forums mobile app


Very sorry for the tragedy, lakini concern yangu ni namna gani waislamu wanaweza kufanya Ibada kwa urahisi, mimi sizungumzii juu ya hicho unachoita "udini" ambacho kinaweza kuwa ni mapungufu ya kibinadamu au inawezekana ni chimbuko la kihistoria ("a historical repercussion").
 
Iam very doubtful if you a genuine muslim, if you are then you are a kaput in the matters concerning your religion.

Huwezi kusoma katika Qur'an na Hadithi msisitizo wa swala ulivyotajwa katika Uislamu na upinge njia zozote zitakazo wezesha watu kupata njia rahisi zitazowafanya waweze kutekeleza ibada ya swala kirahisi halafu wewe unayejiita muislamu ukapinga njia hizo, kama wewe ni muislamu basi ni muislamu jina.
Mimi ni Muislamu wa ukweli tu, lakini siamini kwamba Mwislamu ndiyo mtu bora kumshinda binadamu mwingine. Waislamu tunaamini kwamba sisi ndiyo tunastahili kila lililo jems kushinda wanavyostahili makafiri.
 
Waislam hatutaki.ni lazima msikiti ujengwe udom watu wetu wapate pahala pa kufanya faradhw. Hii haima discussion
 
Uswali mara tano?😳😳 kwa siku? hapo upo college au upo madrasa ustaadh?



Ndiyo maana msikiti unatakiwa uwe karibu ili jambo hilo lifanyike kirahisi bila kuathiri shughuli zingine na hapo ndipo utakapoona kwanini waislamu tunahitaji huo msikiti, hapo si suala la udini kama wengine wanavyodhani ni hitaji kuu la kidini---- Swala, ni tiketi namba moja ya kumuingiza mtu peponi na mengine hufuatia.
 
Huku usiende watu watakwambia habari za Muhamad kuoa mtoto mdogo kabisa na kuanza kulala naye toka akiwa na miaka 9. Kama una mtoto ana miaka 9 jenga picha halafu akifika 13 aliyemwoa umri unaofanana na baba yake aanze kumgegeda.jenga picha tu.... Halafu nambie kwa hii vita tutatoka kweli?,😁😁😁
Mbona hta ukristo pia sio dini au umesahau....ni kikundi cha wabakaji na walawitiaji makanisani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watafute sehemu wajenge. Mi sioni shida si eneo la chuo cha umma. Watakuja wakristo watadai nao eneo. Nako kuna madhehebu mengi tu.mwishoni kutakuwa na ugomv wa kugombea kujenga. Kuepusha hayo watu wakajenge nje ya eneo la chuo then waendelee na ibada zao.

Ndiyo maana msikiti unatakiwa uwe karibu ili jambo hilo lifanyike kirahisi bila kuathiri shughuli zingine na hapo ndipo utakapoona kwanini waislamu tunahitaji huo msikiti, hapo si suala la udini kama wengine wanavyodhani ni hitaji kuu la kidini---- Swala, ni tiketi namba moja ya kumuingiza mtu peponi na mengine hufuatia.
 
Back
Top Bottom