Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

Tatizo kubwa tulilonalo waislamu ni kupenda favour. Tunapenda kubebwa na kudhani kwamba tuna haki zaidi kuliko dini nyingine. Wakristo wa hspo UDOM wanasali wapi? Kwanini wao hawakulazimisha kujenga makanisa? Iweje waislamu tujione tuna hski zaidi kushinda wenzetu? Sitamlaumu Mbofu kwa maamuzi yake ya kusimamisha ujenzi wa Msikiti hapo chuoni. Na ninampongeza Msoffe kwa kuamua kuuvunja kabisa.



Iam very doubtful if you a genuine muslim, if you are then you are a kaput in the matters concerning your religion.

Huwezi kusoma katika Qur'an na Hadithi msisitizo wa swala ulivyotajwa katika Uislamu na upinge njia zozote zitakazo wezesha watu kupata njia rahisi zitazowafanya waweze kutekeleza ibada ya swala kirahisi halafu wewe unayejiita muislamu ukapinga njia hizo, kama wewe ni muislamu basi ni muislamu jina.
 
Yaani hapa msimamo wako ni kuiitoa ccm madarakani au ?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Yeyote ataekuwa madarakani na kutunyima haki yetu ya kuabudu na kutimiza nguzo za Uislam huyo hatopata kura za Waislam wanaojielewa.

I hope haitafikia huko watafanya busara na kurekebisha haraka sana.
 
Mi sioni Kama kuna sababu ya kujenga njumba ya ibada ndani ya taasisi ya serikali hasa sehemu ya kitovu cha elimu Kama UDOM, Kama mambo ya dini Dodoma ni mji mkubwa naamini zipo sehemu nyingi za ibada watu waende uko waache UDOM Kama sehemu ya kuzarisha wasomi ambao watatusaidia katika mambo mbali mbali ya kijamii, tukianza kuendeleza udini kwenye Jambo muhimu Kama elimu hatutofika, huku tunajua vyema hathari za udini. Inasikitisha Sana wasomi kuanza kujadili mambo ya udini wakati jamii ina matatizo mengi ambayo yanasubiri mchango na research za wasomi wetu walioko vyuoni. Acheni upumbavu.Vyuo vya wakristo vipo, vyuo vya waislamu vipo, ukiona dini yako haipewi uzito ufahao kwenye chuo cha umma nenda uko naamini patakufaa zaidi na uache chuo cha serikali kitimize lengo lake la msingi.
 
Ninaposoma comments za uzi huu ndio ninazidi kuamini tatizo la udini ni kubwa zaidi kuliko tunavyofikiri. Kwangu mimi suala la msikiti ni dogo sana, ila kama ni kweli watumishi kumi na moja wote wa dini moja wamehamishwa tena kwa wakati mmoja hapo kuna tatizo kubwa zaidi. Kristo alitufundisha kuwatendea watu wote kwa usawa, tena visasi ni mwiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua walichokuwa wakifanya? Je watu wote wa dini moja kukaa sehemu moja huoni ajira ya upendeleo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweka hoja na Matusi Kukazia, Niambie Kabla ya Karne ya 6 uislamu ulikwa wapi!

1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Ninaposoma comments za uzi huu ndio ninazidi kuamini tatizo la udini ni kubwa zaidi kuliko tunavyofikiri. Kwangu mimi suala la msikiti ni dogo sana, ila kama ni kweli watumishi kumi na moja wote wa dini moja wamehamishwa tena kwa wakati mmoja hapo kuna tatizo kubwa zaidi. Kristo alitufundisha kuwatendea watu wote kwa usawa, tena visasi ni mwiko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaelekea kuna operation maalumu ambayo inawalenga waislam peke yao...Kwanini? binafsi nilifikiri siasa ndio inaleta chuki ndani ya jamii kumbe kuna Udini unaendelea chini kwa chini ndani ya Tanzania hii? mungu atusamehe
 
Laana anapata mtu kwa kumkufuru Mungu, binadamu kazi yake ni kutoa tahadhari tu, mtu anavunja nyumba ya Ibada unataraji nini??, au Mungu ni mjomba wake!!?
Mungu sivyo unavyomfikiria ww na ndo maana nkasema laana ingekuwa inapata mtu kwa matakwa ya binadamu dunia isingekuwa salama mpaka sasa maana tunalaani sana kuliko kubariki kabla hujanyooshea mwenzio kidole angalia ww umefanya nn ili huyo mtu asifike hatua hiyo, unafikiri tukihitaji kujenga nyumba za ibada kila dini au dhehebu pale Udom itakuwa taasisi ya elimu? Au itakuwa inatoa elimu ya kidini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kurhani mkasomee msikitini syo vyuoni au mkasomee moro islamic university ile ya vilaza
Hakunankitu kinachitwa "moro Islamic University".

Mbona hiyo chuki yenu kwa Uislam tunaifahamu sana.

Cha kushangaza! Sifahamu Waislam wamewakosea nini? Hata muwe na chuki namna hiyo.
 
1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
So!

Your point is.......
Jana tu nimetoka kukukanya,ktk hiko ulichokikariri hapo wewe pia kwenye dini yako hukiepuki,nasubiri unijibu nione tena kama jibu lako linafananaje!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kama kuna makosa makubwa ambayo waislamu wa UDOM mmeyafanya, basi ni ile albadili mliyomsomea Prof Mubofu ili afe, na akafa kweli. Nawahakikishieni maisha ya Mubofu mtayalipia kwa damu na jasho. Hizi ni rasharasha tu, bado mvua yenyewe. Si tu mtaikumbuka ile Albadili, bali mtaijutia.
"albadili" ndiyo nini?
 
So!

Your point is.......
Jana tu nimetoka kukukanya,ktk hiko ulichokikariri hapo wewe pia kwenye dini yako hukiepuki,nasubiri unijibu nione tena kama jibu lako linafananaje!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Weka link ya swali lako au ulikuja kwa id tofauti?

Vipi hiyo aya imekuingia?
 
Hayachanganyi, isipokuwa ni chuki binafsi za watu ndizo zinazofanya mambo ya dini yaonekane hivyo.

Hivi kujenga nyumba za Ibada za dini zote katika Udom ni dhambi au shida au kero au???, kwa kusudi la watu wamuabudu Mungu. Mahali popote asipotakiwa Mungu basi mahali hapo Shetani atatawala na kutamalaki.
Kwani vyuo vikuu na shule zote zina makanisa na misikiti?
 
Back
Top Bottom