Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

Sitaki kuwa biased ila kiukweli waislam ni wabaguzi sana na ili jambo linatokana na kufundishwa toka udogoni kuwa makafiri sio wakuchangamana nao.

Mimi reference yangu ni Usagara, na kwa yeyote aliyewahi kupita kwenye ile shule either kwa kusoma au kupeleka mtoto ataelewa ninachoongea.

1. Ile shule piga ua, head prefect hawezi kuwa Mkristo.

Kawaida huwa yanapitishwa majina matano kwenye mchujo unaoongozwa na serikali inayomaliza muda wake. Lakini kabla hayajapigiwa kura huwa yanakuwa assessed na walimu (hasa wa taaluma na nidhamu) hao watapitisha majina matatu kwa ajili ya kupigiwa kura. Nakumbuka kuna mwaka katika yale majina matano yaliyopelekwa kwa walimu, kuna watatu walienguliwa kwasababu za kinidhamu (mmoja muislam, wawili wakristu). Wawili ambao majina yalipita ili wapigiwe kura wote walikuwa wakristu. Uchaguzi haukufanyika huo mwaka maana hawawezi kupigia kura makafiri , ikabidi uongozi uliopo uendelee hadi walipokaribia kufanya necta ndio ukawekwa uongozi wa muda.


2. Pale shuleni kuna ofisi za dini. Waikristo wote wana ofisi yao na waislam wana ofisi yao. Kuna siku asubuhi wakati watu wanajiandaa kwenda assembly, kawaida walimu huwa wanapita kutoa watu madarasani. Kuna wanafunzi wa O level (wote waislam) walikutwa wananyonyana mate ndani ya ofisi ya dini ya Waikristo (huwa haifungwi na funguo), ile kesi iliishia juu juu tu. Weeks later wanafunzi wakiislam walitaka kufanya mgomo kuwa dini yao haiheshimiwi kisa kuna makafiri wawili walipita wanacheka kwa nguvu nje ya darasa walilokuwa wanafundishiwa kipindi cha dini.

3. Kuna shule ya kiislam ya wasichana ipo karibu na hostel za town. Huwa mara nyingi vyakula vikibaki wanawapa wanafunzi wa Usagara wanaoenda kuswali, ambao nao walikuwa wanakuja kuvilia hostel na wanafunzi wengine. After sometime walipigwa marufuku ( na uongozi wao wenyewe wa wanafunzi wa kiislam, sio uongozi wa ile shule wala wa msikiti) kubeba chakula na kwenda kula na makafiri.


4. Wanapenda sana kujitenga, nakumbuka walianzisha program ya kusolve maswali na discussion lakini wakawa wanaiendesha kwa siri, solving wanafanyia Usagara primary, wakiwa wanaenda ukawauliza wanaenda wapi wanajibu msikitini.

5. Ilifanyikaga moko ya mkoa kwa Advance, Usagara ilifanya vizuri mwaka ule, walitoa one za 7 mbili. Matokeo yalivyotangazwa makofi yalikuwa mengi sana. Ila yalipobandikwa kila anayekuja kuangalia utasikia anasema "Kumbe walioongoza makafiri"

6. Kuna jamaa muislam alikuwaga vizuri sana kwenye namba, alafu ni mtu peace sana. Hata akiwa busy na ratiba zake ukimpelekea swali au kuomba msaada lazima akusikilize. Ila uongozi wa dini yake ulishawahi kumuweka kikao kuwa anapendelea sana makafiri kuliko waislam wenzie. Na chanzo cha kusema hivyo ni kwamba kuna siku alikuwa anamsolvia Mkristo swali, alaf akaja Muislam in hurry na swali lake akaomba idea ya kulisolve, jamaa kila akimuelekeza haelewi. Ikabidi amwambie basi subiri nimalizane na huyu ili tulifanye wote. Mshikaji akasepa.



Sent using Jamii Forums mobile app
Yaleyale ya ndanda sec

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Nyinyi au wewe unazungumza kitu usichoelewa, unasema waislamu wapewe Room ili wawe wakiswalia, tayari ukishakuwa na Room kwa ajili ya kuswalia huo ni Msikiti kwa istilahi ya dini ya kiislamu, kulingana na ukubwa wa UDOM, tujiulize ni Room ya ukubwa upi itakayoweza kuchukua hao Waumini wote kwa wakati mmoja mfano katika sikuu za Ijumaa??, na ikumbukwe waislamu wanatakiwa kuswali swala za lazima mara 5 kwa siku.

Kwa mazingira hayo, waislamu wanayo haki ya msingi ya kuabudu, hivyo kama waliomba eneo la kujenga msikiti, je wengine nao waliomba kujenga nyumba zao za Ibada wakanyimwa??!!,ni hapo sasa ndipo Udini unapokuja na sio kwa kujenga msikiti ndiyo udini.

Hao hao viongozi wa serikali utawasikia wakipaza sauti wakiwaomba Viongozi wa dini wawaase waumini wao ili wawe raia wema na wenye maadili, halafu hapohapo hawataki nyumba ya Mungu ijengwe na mbaya zaidi INABOMOLEWA bila khofu!!!, je mkishikwa na laana mtasema Waislamu wamewaroga?!!?.
Tatizo kubwa tulilonalo waislamu ni kupenda favour. Tunapenda kubebwa na kudhani kwamba tuna haki zaidi kuliko dini nyingine. Wakristo wa hspo UDOM wanasali wapi? Kwanini wao hawakulazimisha kujenga makanisa? Iweje waislamu tujione tuna hski zaidi kushinda wenzetu? Sitamlaumu Mbofu kwa maamuzi yake ya kusimamisha ujenzi wa Msikiti hapo chuoni. Na ninampongeza Msoffe kwa kuamua kuuvunja kabisa.
 
Waislam tusipige kele sana, dawa yao ni kwenye sanduku la kura tu.

Kama hawakubali kuujenga msikiti na sisi tusikubali kuwapigia kura, simpo. Si miaka miwili hii ya uchaguzi? Tuanze kuwaonesha kwenye huu uchaguzi mdogo.

Mie nasemq hawana ujanaja hao, watabana wataachia na huyo mkuu wa chuo aliyeamuru msikiti ubomolewe ajuwe anaondoka hapo.

Hii itakuwa kama yule mkuu wa mkoa aliyetaka kubomoa msikiti unaojengwa. Kiko wapi?
Yaani hapa msimamo wako ni kuiitoa ccm madarakani au ?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
waislam wana sali sala tano kwa siku muhimu kuwa na msikiti popote pale wakristo mnasali jumapili mpaka jumapili


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nyinyi au wewe unazungumza kitu usichoelewa, unasema waislamu wapewe Room ili wawe wakiswalia, tayari ukishakuwa na Room kwa ajili ya kuswalia huo ni Msikiti kwa istilahi ya dini ya kiislamu, kulingana na ukubwa wa UDOM, tujiulize ni Room ya ukubwa upi itakayoweza kuchukua hao Waumini wote kwa wakati mmoja mfano katika sikuu za Ijumaa??, na ikumbukwe waislamu wanatakiwa kuswali swala za lazima mara 5 kwa siku.

Kwa mazingira hayo, waislamu wanayo haki ya msingi ya kuabudu, hivyo kama waliomba eneo la kujenga msikiti, je wengine nao waliomba kujenga nyumba zao za Ibada wakanyimwa??!!,ni hapo sasa ndipo Udini unapokuja na sio kwa kujenga msikiti ndiyo udini.

Hao hao viongozi wa serikali utawasikia wakipaza sauti wakiwaomba Viongozi wa dini wawaase waumini wao ili wawe raia wema na wenye maadili, halafu hapohapo hawataki nyumba ya Mungu ijengwe na mbaya zaidi INABOMOLEWA bila khofu!!!, je mkishikwa na laana mtasema Waislamu wamewaroga?!!?.
Laana ingekuwa inapataga binadamu kwa matakwa ya binadamu tu yaani sijui inhekuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayachanganyi, isipokuwa ni chuki binafsi za watu ndizo zinazofanya mambo ya dini yaonekane hivyo.

Hivi kujenga nyumba za Ibada za dini zote katika Udom ni dhambi au shida au kero au???, kwa kusudi la watu wamuabudu Mungu. Mahali popote asipotakiwa Mungu basi mahali hapo Shetani atatawala na kutamalaki.
Huyo Mungu anakaaga ndani ya jengo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi au wewe unazungumza kitu usichoelewa, unasema waislamu wapewe Room ili wawe wakiswalia, tayari ukishakuwa na Room kwa ajili ya kuswalia huo ni Msikiti kwa istilahi ya dini ya kiislamu, kulingana na ukubwa wa UDOM, tujiulize ni Room ya ukubwa upi itakayoweza kuchukua hao Waumini wote kwa wakati mmoja mfano katika sikuu za Ijumaa??, na ikumbukwe waislamu wanatakiwa kuswali swala za lazima mara 5 kwa siku.

Kwa mazingira hayo, waislamu wanayo haki ya msingi ya kuabudu, hivyo kama waliomba eneo la kujenga msikiti, je wengine nao waliomba kujenga nyumba zao za Ibada wakanyimwa??!!,ni hapo sasa ndipo Udini unapokuja na sio kwa kujenga msikiti ndiyo udini.

Hao hao viongozi wa serikali utawasikia wakipaza sauti wakiwaomba Viongozi wa dini wawaase waumini wao ili wawe raia wema na wenye maadili, halafu hapohapo hawataki nyumba ya Mungu ijengwe na mbaya zaidi INABOMOLEWA bila khofu!!!, je mkishikwa na laana mtasema Waislamu wamewaroga?!!?.
Bro nimehitimu Udom. Former VC Mr Idris Kikula nd DVC finance Mlacha. Walikua wadini balaa nakumbuka mwaka 2011. Walimteua Bw mmoja anatwa Issa awe Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi wa Serikali ya wanafunzi.

Wakampa directive wagombea wote wawe Waislamu tu nae akakata Wakristo wote akaacha mmoja fala hivi wa CCM akijua wanachuo hawachagui pro CCM ikatokea ghasia kubwa kati ya waslamu na Wakristo wanafunzi walijeruhiana sana.

Ni vile watu wa state walizuia media kuripoti na social media hazikuwa na nguvu kama Leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo ni kwaajili ya kusoma na sio kuhubiri Qur'an au biblia hvyo kwa wanaopenda nyumba za ibada ziwe vyuoni kuna vyuo specific vya kidini kama MUM moro na vingnevyo
 
Mimi ninakaa Dodoma na Udom kila mara nipo kule kwa kiasi tunajua kitu gani kilikuwa kiktendeka wakati wa prof Kikula na prof Mlacha hakuna asiyejua hata Mkuu mwenyewe anajua kwamba kulikuwa na Udini ulio vuka mipaka.

Kama Waislamu wakitaka kujenga msikiti chuoni tena chuo cha Umma na Dini singine zikidai kujenga makanisa na mahekalu kuktakuwa kuna kusoma au kutangaza dini na madua.

Mbona chuo Kikuu cha st john hakuna msikiti na waislamu wamepewa sehemu nzuri tu ya kufanyia dua.

Mbona CBE hakuna msikiti wala makanisa na kila kitu kinakwenda vizuri bila shida.

Vyuo vyote dodoma havina misikiti wala makanisa isipokuwa chuo kikuu cha st johns na wao hilo kanisa lilikuwepo toka enzi za mkoloni kwa maana chuo hiko ilikuwa shule ya kanisa la Anglikani miaka za 1940 na baadaye kutaifishwa na kuwa shule ya sekondari mazengo na baadaye tena kurudishwa kanisa la Anglikani kwa St John university.

Haya yanayotokea UDOM ni dhambi ya prof Kikula na Prof Mlacha kuendeleza Uislamu katika Chuo hicho kikubwa Afrika mashariki na kati.

Narudia kusema Wailamu wengi walioajiriwa Udom waliajiliwa kimkakati wa kuwainua na kuwaendeleza Waislamu.

Sina uhakika lakini yalisemwa hapo Udom kwamba kuna fist lady mmoja naye anahusika sana na kupandikiza kwa makusudi/kimkakati Uislamu hapo Udom.

Ombi kwa serikali ni kuchuja na kufuatilia kikamilifu mienendo ya chuo kikuu cha Dodoma wakati wa prof kikula na Prof Mlacha (walikuwa ni zaidi ya Miungu watu Hapo chuoni kwa maana prof Mlacha alikuwa Mkuu wa Administration na Fedha na Kikula alikuwa ni Mkuu msaidizi wa chuo juu yake akiwepo Mh Mkapa).

Prof Mlacha ni Mpare. Wapare ni kabila dogo hapa nchini lipo kwenye wilaya moja tu. Lakini chunguza waajiriwa wapare hapo UDOM ndio utashangaa.

Sina chuki na mtu Ila ninachukia sana Ukabila na Udini unawafanya makabila na dini zingine kuwa wanyonge sana katika nchi yao.

maandishi yako ya mwisho yanaonyesha chuki wewe unaesali jumapili mpaka sunday


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Madam Chief! Hii ni BLACKMAIL! Hii ni STUPIDITY! Hii ni UNAFIQ! Worse part is, Hii sio ISLAM!

Its people like you mnaotufanya Muslims wengine wote tuonekane hatuna akili, wachawi na wapuuzi first class! How could you Faiza?!

My dear brothers & sisters + "Waleta Mada"!, ISLAM=PEACE not Pieces!

Imani yangu, kama ambavyo Muumba wa Ardhi na Mbingu na kila kilichomo alivyoturuhusu kutumia mchanga safi kujiswafi kwa ajili ya Ibada ama alivyoahidi kutusamehe endapo tukitenda haramu bila kujua au kwa makusudi kutokana na njaa hisiyo na ufumbuzi kwa wakati huo, basi ndivyo alivyotupa wepesi na kuturuhusu kusimama au kukaa au kulala muda wa ibada (kuswali/kusali)!
Ni imani yangu pia kwamba Mola alitoa ruhusa hiyo akiyajua haya na akitujua ni jinsi gani tulivyo na hila zisizo na msingi!
ISLAM inaruhusu kufanya ibada ukiwa umelala ubavu endapo unaumwa ama unaelekea kulala!
ISLAM imeruhusu kufanya ibada ukiwa umekaa endapo upo darasani, kazini ama safarini kwenye gari, ndege au hata boti/ship,/mashua!
ISLAM inaruhusu usimamishe usafiri wako binafsi popote ulipo kama ni pasafi unafanya ibada!
Na Mola muumba wa vyote anajua zaidi!

****Haya mabishano ni ujinga na makusudi ya kipuuzi!
Hujaeleza vizuri faiza Foxy anakushauri wewe kama muislam kuikataa ccm ktk kura. Je uislam unasemaje kuhusu kupiga kura? Au kumpigia kura "kafiri"?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Nyie Muhamad wenu aliliwa na Nguruweee ndo maana hamli nasikiaa..

Sent using Jamii Forums mobile app



Kwa taafa yako hata Biblia inasema nyama ya nguruwe ni Haramu soma mambo ya Walawi, husomi Kitabu chako unarukia Vitabu vya wengine.

Nguruwe ni haramu sababu ukila nyama yake inambukiza au kusababisha maradhi mbalimbali, kama kansa, Tegu,nk, pia inaambukiza tabia ya Ushoga.

Kwani katika wanyama ni jamii ya nyani na sokwe (apes and monkeys) na Nguruwe ndiyo hufanya USHOGA, wataalamu wa lishe wanasema "you are what you eat".-- kwa hiyo Biblia na Qur'an vimeharamisha hiyo Nyama kwa kusudi.

Lakini Uroho ulivyokuzidi wewe upo radhi uwe SHOGA kuliko kuacha kula nyama ya nguruwe.
 
Doh.. Tumefika huku Mzee baba? Bora sisi wengine tuliochagua kuishi kwa amani na maadili tu bila kufuata mawazo ya mtu flani.. dini ni kifungo na mtego kwa binaadamu.
Naomba unisamehe mkuu ila nachukia binadamu kujiona yeye ni bora kuliko mwenzake.
Unapata wapi ujasiri wa kumwita mwenzio kafiri? Huu ni ubaguzi wa kijinga na mtu yoyote anayemwita mwenzie kafiri ni fala tena pumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom