Msishangae Makonda akiteuliwa na kurudishwa serikalini au kwenye chama

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,968
6,134
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.

Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.

=====
UPDATE:

Machi 31, 2024: Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Oktoba 22, 2023: Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Julai 8, 2023 (tetesi): Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!
 
Kwamba waliopo wameshindwa kuurudisha mfumo wa Mwendazake mpaka anaeweza ni makonda?
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.

Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
Hii kampeni sio muda wake..
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.

Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
Sasa watakaokuwa wanashangaa ni Chadema au?
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.

Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
Tunaweza shangaa
 
Kwani nani asiyejua kuwa Makonda ni Swahiba wa Samia na Kinana?

Wanaweza kumtumia kudivert mjadala wa bandari au pia kutumia wingu hili la sasa kumrudisha katika system.

Vyovyote iwavyo, hata wamteue kuwa Rais msaidizi hatutaacha kudai bandari zetu.
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.

Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
Suala bandari mwiba mzito sana kwa SSH hapo 2025 watatumia hela nyingi sana Na nguvu kuuubwa dola ......amejiharibia mwenyewe kwa tamaa za gang yake
 
Suala bandari mwiba mzito sana kwa SSH hapo 2025 watatumia hela nyingi sana Na nguvu kuuubwa dola ......amejiharibia mwenyewe kwa tamaa za gang yake
Siku hizi hawahitaji chaguzi.

Mwendazake alishawafundisha mwaka 2020 namna ya kukata na kufunua kwenye chaguzi bila chembe ya aibu.
 
Siku hizi hawahitaji chaguzi.

Mwendazake alishawafundisha mwaka 2020 namna ya kukata na kufunua kwenye chaguzi bila chembe ya aibu.
Ngoja tumuone na Huyu anasema yeye anaitaka pepo ...tuone fekeche zake ....simuoni akiomba ridhaa 2025 .....simuoniii kbsss
 
hata wamteue kuwa Rais msaidizi hatutaacha kudai bandari zetu.
Mama kashakula hela ya kifuta uchumba kutoka kwa wajomba sasa itakuaje akope sehemu nyingine arudishe?

Na huku mkataba unasema akisaini amesaini hakuna kuvunja mkataba maana ni mkataba usiovinjika na kashasaini sasa itakuaje?

Au avunje bunge dhaifu na yeye pia ajiuzulu wadhifa wake aitishe uchaguzi ili tuchague chuma kingine kiingie madarakani kuchukua usukani au itakuaje ?

Maana hajawahi kukubari kushindwa ni mbishi wa asilia hata km kweli anakosea anakomalia hapo hapo hakubari kusema kwamba hapa kweli nimebananga hapa nimeshindwa

Analipeleka gari huko huko mtoni mtalia machozi mtaongea mengi mtamwaga makamasi kwa kusema we dereva we angalia mwendo huo na roho zetu utatuua yeye hasikii kakomalia hapo hapo ndio kwanza anabadirisha gear anatoa namba 2 anaingiza namba 3 alafu anachochea mafuta

DP World ashafunga ndoa hapa tunasubiri mimba tu na watoto wa DP World basi,

404: Page Not Found
 
Makonda atateuliwa kuwa katibu mwenezi wa CCM. Huyu mdada aliyepo anaonekana kupwaya kuliko hata mtangulizi wake.
Sukuma gang inarudi pole pole especially baada ya CCM og kubugi kwenye DP W.
 
Back
Top Bottom