Unapenda Games? GTA VI inakuja ikiwa na mission kibao

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
757
GTA%206.jpg

Kampuni kongwe ya magame ulimwenguni Rockstar Games imesema Muda sio mrefu wataanza kutoa matangazo mbalimbali kuhusu game mpya ya Gta 6 ambayo inaitwa Grand theft Auto Franchise desemba hii.

Game itaitwa Gta VI ambayo kwa mara ya Kwanza muhusika mkuu atakua mwanamke ataweza kuhusika kwenye missions mbalimbali za Miami tunaweza sema ni kama Ile game ya Gta Vice City iliyotoka mwaka 2002.

Game hii rasmi itaachiwa mwakani 2024 japo Toka mwaka 2014 ilianza kutengenezwa na kukamilika mwanzoni mwa mwaka 2023, itakua mrithi wa Gta V ambayo ilitoka mwaka 2013 iliweza kupata faida kubwa zaidi ya nakala million 185 ziliuzwa.

View attachment 2809099

๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ ๐˜๐˜‚ ๐—ž๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—š๐˜๐—ฎ ๐Ÿฒ
- muhusika mkuu mwanamke anaitwq latina ambaye atahusika kwenye wizi wa benki mwanzoni game inapoanza akiwa na watu wengine ambao Bonnie na Clyde.

- ni game ambayo kama ilivyo Vice city lakini hoi Iko na ubora wa Hali ya juu ikiwa na maeneo mapya ila eneo kubwa ni Miami kumbuka vice uliyokua unacheza ni miaka 1986.

- kutakua na mission mpya mbalimbali zenye kusisimua, cheats maujanja nk.

View attachment 2809098
 
View attachment 2809100

Tunaisubiri inshaallah...
 
Hivi hizi game zipo za android
Kwenye Play Store zipo GTA III & Vice City. Ila pia Netflix Games December, 14 wataachia GTA III, Vice City & San Andreas na zote zitapatikana App Store, Play Store & Netflix App bila malipo za ziada kwa wale waliojiunga na Netflix.

Kwa sasa kila game ya GTA kwenye Play Store ni TZS 12,000 hivyo kupitia Netflix itakuwa ni nafuu hata ukiwa na kifurushi cha 7,500 utaweza kucheza games zote 3 za GTA.
 
Nimecheza GTA karibia zote kasoro GTA IV & GTA V. Kweli COD ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. Ushacheza BATTLEFIELD?
battlefield V, 4 2042, hardline zote nzuri sana sana ila Battlefield 4 premium edition ni nzur zaid intem of mission ila graphics nzuri ni Battlefield V japo zote hizo COD MWII na CODMWIII currently ndio game bora zaid ya action nmecheza zote hizoo sahivi nacheza COD MWIII niko kweny mission ya nne inaitwa "payload" ila tuongeeee yoteeee game zotee za namna yeyote GTA ni GREATEST OF ALL TIME.
 
Back
Top Bottom