kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,079
- 18,135
Je, ulipo kuna umeme?
Umeme umekatika saa 8 na dk 39 usiku huu na watu wengi sana wanasema makwao hakuna umeme
Tusubirie walete zile ngonjera za hitilafu kwenye grid hili shida halina staha kabisa tena limekosa haya na stara ya kuitwa shirika.
Ni uhayawani wa hali ya juu na umajinuni mkubwa kukata umeme usiku.
Mathalani, hapa kwetu tuna siku ya 4 wanakata asubuhi wanarudisha usiku kwa kisingizio cha matengenezo wallah these people are sick...
Kila siku wanakuja na drama mpya na kuomba radhi kusikoisha we are tired from their disgusted drama!!They are fooling us everyday....we are discouraged enough......Hili shirika halijawahi kuwa shirika....