Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,031
- 30,372
Hayati Kambona alikuwa mtu sahihi kwa wakati husika ingawa hakutafsiriwa vizuri na Washirika wa kipindi hiko.Kuna kitu kingine pia. Kabla hajahamia London, na labda baada ya uhusiano na mwalimu kuanza kuyumba, Kambona alimwambia mwalimu kuwa hali yake ya afya haikuwa nzuri.
Mwalimu alimwelekeza Kambona kwenda kutibiwa uholanzi ambako kulikuwa na daktari aliyekuwa rafiki yake mwalimu. Kambona alikaa uholanzi kwa matibabu kwa zaidi ya mwezi. Aliporudi nyumbani, kwa mashangao wa mwalimu, Kambona alijiuzulu uwaziri na ukatibu mkuu wa TANU.
Ingawa alitaja sababu za kiafya kama sababu za kujiuzulu kwake, bado hazikumconvice mwalimu hivyo ukapangwa mpango wa kumkamata. Sijui ni vipi aligundua mapema na hivyo kuponyoka mapema hadi Nairobi alikopandia ndege kwenda London. Inawezekana pia kuwa hakuridhika na nafasi aliyokuwa nayo. Wakati anaondoka kwenda kwenye matibabu alikuwa waziri wa maendeleo vijijini baada ya azimio la Arusha.
Inawezekana pia kuwa uhamisho wa kumpeleka kwenye wizara hiyo ilikuwa kumkomoa.
Asingethubutu. Ni sawa na kumwambia Makonda leo aandike kitabu.Kambona ilipaswa aandike kitabu chake tumsome kwa upana zaidi
Kambona alifia nje ya nchi, angeweza kuandika.Asingethubutu. Ni sawa na kumwambia Makonda leo aandike kitabu.
Sijasema kuna mtu aliyemzuia kuandika kitabu, madhambi yake ndio yalimzuia akihofia kuanikwa.Kambona alifia nje ya nchi, angeweza kuandika.
Pia unaweza kuandika kitabu ukamuachia publisher na ukaweka kwenye wosia kwamba kichapishwe na kusambazwa pindi tu utakapofariki.