Ukweli mchungu

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
May 10, 2021
466
516
Rais wa zamani wa Marekani Mh Barack Obama amesema watu wanaomzunguuka walikua wanamwambia ukweli anapokosea na pia kuhoji uhalali wa maoni yake anapokosea wala sio kumsifia kwa kila jambo,ni hatari watu unaowaamini wasipokwambia ukweli"

Obama.png
 
Sasa Obama ni mjaluo hawapendagi Sifa za kijinga!

Kamsifie John Heche kama hajakukata makofi dadeki 🐼🔥
 
Rais wa zamani wa Marekani Mh Barack Obama amesema watu wanaomzunguuka walikua wanamwambia ukweli anapokosea na pia kuhoji uhalali wa maoni yake anapokosea wala sio kumsifia kwa kila jambo,ni hatari watu unaowaamini wasipokwambia ukweli"

Nyerere aliwahi kusema, mtu akikupa ushauri (wa kijinga), akijua dhahiri anakushauri ujinga, na wewe ukaufuata, atakudharau! Nafikiri enzi hizo alikuwa akirusha kijembe kwa aliyemfuatia nafasi ya uraia. Sasa wanaiamini katika uchawa, kazi kwao!
 
Back
Top Bottom