Ukweli haupingi Zanzibar ipo Kama hakuna Zanzibar mbona kuna Rais wa Zanzibar?

Mkuu, muungano wetu ni kiinimacho tu usiumize sana kichwa...watawala wanadhani watz wa leo ni sawa na wale wa miaka 20 kurudi nyuma kwamba kuwadanganya bado ni jambo rahisi sana.
Wananchi wengi kwasasa wanaweza kuhoji tena kwa facts!.
Swali jepesi, kwann Shaka ni mkuu wa wilaya huku Tanganyika (bara) lakini hakuna Mtanganyika (m-bara) anaweza kuwa na cheo kama hicho hicho kwa kule Zenji??.
 
Wale hawakudanganywa , ni nguvu Za dola zinatumiwa kulazimisha uvamizi, wanaodanganyika ni Watanganyika si Wazanzibari
 
Back
Top Bottom