Ukweli ambao Serikali haitaki kuwaambia watu wa Rufiji; Bwawa la JNHPP limezidiwa na maji, lazima yamwagwe ili kuliokoa lisivunje kingo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
56,347
66,755
Mpaka hapo Hilo bwawa limegeuka kuwa catastrophe Kwa Wananchi.

Unaambiwa ikitokea bahati mbaya likavunja Kingo zake,Rufiji nzima itakumbwa na Mafuriko.

View: https://twitter.com/lifeofmshaba/status/1776936147123421551?t=S5_Jyf2K6-Auglkys3JEmg&s=19

My Take
Huko Rufiji hakuna Usalama wa Maisha maana hili bwawa limekuwa kitisho Cha maisha.

Serikali hamisheni watu wote wa Wilaya hiyo maana mliyataka wenyewe Kwa kudhani walionusa hatari hii walishindwa kulijenga.

View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1776935137537618395?t=UUMmQT5sCAWZ0h0wJb7YvQ&s=19

Hizi Kauli zinakujaga kuwaponza kina Bashe👇👇

View: https://twitter.com/HusseinBashe/status/1776956538084544897?t=pjaE5vkiKdbtQ4ZoOXd6lA&s=19
 
Wapelekwe Rombo na Bumbuli
Hela za kuwapelekea yule mtu wako aliziacha?
22112018.jpg
 
Hilo pia litapita mwenyezi Mungu atawaepusha na madhara hao wanavijiji na nyie mnao ombea maafa mwenyezi Mungu ayapitishe kwenu ili tuwaulize vizuri!
Mungu aliumba binadamu na akili, inabidi zitumike, sio kusubiri miujiza au kudra zake katika maafa tunayojitakia.
 
Rufiji kufurike mara ngapi?

Siyo mara ya kwanza au ya pili hii.

Baada ya kuololewa, wakati wa Nyerere, kuna mrufiji alisikika akisema "nyelele ntu, kama enzi ya zamami ntume. Katuletea hedikopta ikatujamisha . Lwachu kwachu kwachu".

Msioelewa, hayo mafuriko ya rufiji ya mara kwa mara ndiyo yalizaa wazo lijengwe bwawa la umeme, hilo ni wazo toka enzi ya mkoloni.

Naamini mwaka huu bwawa limesaidia sana kupunguza ukubwa wa mafuriko.
 
Ni kweli kabisa
 
Back
Top Bottom