Ukiwa mpambanaji kuwa makini na idadi kubwa ya wapenzi watakufilisi

Ujumbee huu angeletaa Bakheresa kidogo ningeuamin maana jamaaa Ana wake wengi sana na bado richman
Baharesa huwezi jifananisha nae alafu yule kipindi anajitafuta lazima alikuwa na nidham ya pesa na hata wanawake kaowa sio kuishi na malaya na jamaa kaowa kulingana na utajiri wake , sasa wewe una mshahara wa laki mbili wanawake 3 , unategemea nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom