Ukiwa mpambanaji kuwa makini na idadi kubwa ya wapenzi watakufilisi

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,170
11,239
Ukitaka uwe mtafutaji wa hela halafu uje ulalamike hela huioni wakati inapatikana wewe kuwa kwenye mahusiano ya kudumu na rundo la wanawake, wanawake wa sasa ni chazo kimoja wapo cha kutufilisi wanaume

Kwa usalama wa kipato chako kuwa na mwanamke mmoja kama ni michepuko kwa usalama wako usiweke kambi ya kudumu kwa mchepuko watakufilisi au baki njia kuu tu

Pia kuna wanawake wengine wana mikosi uwe makini kulala na wanawake hovyo hovyo utakuja kujutia
 
Ukitaka uwe mtafutaji wa hela alatu uje ulalamike hela huioni na inapatikana wewe kuwa kwenye mahusiano ya kudumu na rundo la wanawake, wanawake wa sasa ni chazo kimoja wapo cha kutufilisi wanaume

Kwa usalama wa kipato chako kuwa na mwanamke mmoja kama ni michepuko kwa usalama wako usiweke kambi ya kudumu kwa mchepuko watakufilisi au baki njia kuu tu

Pia kuna wanawake wengine wana mikosi uwe makini kulala na wanawake hovyo hovyo utakuja kujutia
Madini
 
Nafikiri ndicho nachokipitia sasa 😃😃😃sijui nawaonaje
Kuna muda huna budi kutulia mkuu.
Mpambanaji unahaso unaingiza letsay 10K per day na sio kila siku alafu ujichanganye kwa chuma ulete, kupiga hatua utaishia kupiga kwa miguu sio kimaendeleo.

Weka akiba, wekeza ukishakuwa stable financially utafanya chochote upendacho japo sishauri kuikimbilia zinaa.
 
Kaka kikubwa uterezi apa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom