Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,793
- 47,493
Nataka kujuwa hao divers are they professional trained and awarded certificates na wana utaalamu kiasi gani au ni divers wa mtaani tu wamejitolea kuokoaUna utaalam wa masuala ya Diving mkuu!?
Au unajaza server za JF na wewe uonekane! Kuna masuala ni ya kitaalam na hayahitaji Siasa na mihemko.
Mkuu wa mkoa alishauriwa na wataalam (Divers) kusitisha zoezi hilo kutokana na hali iliyojitokeza ndani ya maji.
Hayo masuala ya mke wako sijui mke wa jirani yaache huko huko kwenye vijiwe vya kahawa.