JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,509
- 9,882
Chama umepewa, kusimamia serikali na Ilani ya chama.
Ila kuna sehemu unakwama.
Jambo utakaloliweza ni kukutuliza chama/kupunguza kasi ya vuguvugu chamani. Ila huku kitaa unapwaya. Wanao kuja kwenye mikutano yako ni viongozi wa CCM wa wanafunzi wanaolipwa posho. Mwananchi wa kawaida hawaoni kabisa umuhimu wa kuzunguka kwako kote huko.
Hadi sasa nafasi ya kuwa RAIS kama ulivyo kuwa unasemwa zamani imepotea kabisa. Nyota yako imezima kabisa.
Anyways - bado unanafasi ya kuwatetea wananchi wako, ila hadi ujue siasa.