Ujenzi wa Barabara katika Stendi ya Bomang'ombe (Moshi) unaendelea

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,879
12,133
Ujenzi wa Barabara katika Stendi ya Bomang'ombe Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro unaendelea baada ya awali kuripotiwa kuwa na mashimo ambayo yalikuwa yakisababisha Madereva wa Mabasi na Costa kutishia kugoma kutoa huduma.

ccc1.jpg

cc.jpg

Pia Soma - Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma kutokana na ubovu wa Stendi ya Bomang'ombe
 
Back
Top Bottom