Ujasusi wa Israel unavyowaingizia mkwanja mrefu: Huduma ya kudukua simu moja ni bilioni 1, Wateja wakuu ni serikali na taasisi za kijasusi duniani

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
275
800
Muhimu: Gharama hizo ni kwa mwaka moja pekee

Kampuni ya Pegasus ya Israel hutoa huduma ya kudukua smartphones (hata iphone) kwa dau la shilingi bilioni 57 kwa simu 50 ( euro milioni 20.7) takribani shilingi bilioni 1.x kwa kila simu.

Wateja wakuu ni serikali hasa katika kuchunguza wapinzani wao na mashirika ya kijasusi katika kufatilia targets zao

Mfano mdogo tu Nchi mojawapo kama India, wahindi wanalalamikia serikali kulipia dola bilioni 2 (Shilingi trilioni 5) kila mwaka kutumia huduma hii, waweza kuingia twitter utakutana na habari kibao

Hivi zile voice zilizovuja mwaka ule hazikuwa product za ujasusi wa Israel kweli, maana ilikua ngumu kidogo kutoka hapa kwetu kwa watu wakubwa kiasi kile.
 
Hii kampuni ya kishenzi na ni unethical , Ndio waliomdukua Jamal kashogji na kutumia data zake kwa majasusi wa saudi mpaka kwenda kumuua kwenye ubalozi wa saudi pale Turkey ,wakamtakata vipande vya mishkaki na kuupoteza mwili wake
 
Mbaya zaidi hizo products zao za software wanauza kwa yeyote , so hata criminals ,madikteta na serikali za kishenzi kama za Afrika huku zisizo jali haki za binadamu wala privacy , zinanunua na kudukua raia au watu wanaopingana nao na hata kutumia hizo data kupoteza maisha yao
 
View attachment 2976315

Muhimu: Gharama hizo ni kwa mwaka moja pekee

Kampuni ya Pegasus ya Israel hutoa huduma ya kudukua smartphones (hata iphone) kwa dau la shilingi bilioni 57 kwa simu 50 ( euro milioni 20.7) takribani shilingi bilioni 1.x kwa kila simu.

Wateja wakuu ni serikali hasa katika kuchunguza wapinzani wao na mashirika ya kijasusi katika kufatilia targets zao

Mfano mdogo tu Nchi mojawapo kama India, wahindi wanalalamikia serikali kulipia dola bilioni 2 (Shilingi trilioni 5) kila mwaka kutumia huduma hii, waweza kuingia twitter utakutana na habari kibao

Hapo hiyo software ni nyongeza kwenye hicho kifurushi Cha silaha Cha 2b
 
Back
Top Bottom