Kweli mkuu, haya makampuni yakishapata wateja wa kutosha yanaanza ujanja.......tupeni na maujanja namna ya kupata zile 'free to air channel' tutumie hizi dish zao kutafuta uelekeo angalau tuwapunguzie mzigo wa wateja....Nimewaripoti TCRA, nitawapa mrejesho