Kuna mzungu mmoja ni raia wa Italy Sina uhakika kama kweli katokea Italy . Huyu mzungu anaishi maeneo ya sanawari ya juu amefungua shule feki inaitwa New bridge pre-school .
(Zamani iliitwa SAMENA SCHOOL Tatizo ni kwamba huyu mzungu amefungua shule kwa jina la girl friend wake anayeitwa Victoria Benard kwa madai kuwa girlfriend wake ndio mmiliki wa shule hiyo kitu ambacho sio kweli kwani anaidanganya serikali. Mzungu huyu anamiliki ukurasa wake wa Facebook ujulikanao kama CHARITY OF CHILDREN HOPE IN TANZANIA Wenye namba za simu 0746 588048 na dhumuni la kufungua ukurasa huo ni kuchangisha michango ya mamilioni kwa ajili ya kusaidia wanawake na vijana kujikwamua kiuchumi lakini kiuhalisia amesajili NGO lakini anaendesha shule hivyo anaidanganya serikali. Uhamiaji fuatilieni huyu mzungu kwa haraka kujua kama ana kibali Cha ajira (work Permit)? Au ndio amejiajiri kwa mgongo wa girlfriend wake? Na
1 Je Sheria inasemaje mtu akitaka kufungua NGO au shule?
2. Ni kweli kwamba mtu anaweza kufungua shule kwa kusajili mtandaoni kupitia BRELA?
3 Je Sheria zetu za Ajira Tanzania zinasemaje kuhusu raia wa kigeni haswa Hawa wanaotumia mlango wa nyuma kama girlfriend?
4 Je Analipa Kodi TRA kutokana na michango ya mamilioni anayopata kutoka huko ulaya?
5. Ni biashara hiyo ya shule ndio anayoifanya au shule ni kivuli tu? Kwakuwa NGO aliyoisajili inadili na mambo ya kusaidia wanawake wajane na vijana lakini hakuna wanawake Wala vijana Bali Kuna shule ya watoto chekechea.
6 kuhusu uhalali wa kuishi hapa nchini vipi hati ya kusafiria na kibali Cha makazi ni Sheria zipi zinatumika kujua kama yupo kihalali? Naomba kuwasilisha mada kwa wahusika naamini uhamiaji Arusha mtalifanyia kazi