Uelewa wa Celebrities Tanzania unatia mashaka

Nyunyu

JF-Expert Member
Mar 9, 2009
4,354
1,010
Kate Samwel likes Wema Sepetu.
Yesterday at 5:00pm ·
Wema Sepetu
Actor/Director · 159,862 Likes


1506030_246960962142933_1401026808_n.jpg



Ndugu wana bodi,
Picha hapo juu nimecopy kama ilivyo kule facebook na kuileta kwenye jukwaa hili niulize, kuna shida gani katika uelewa wa Celebrities hapa bongo? Yaani ukurasa wa Mrembo Wema Sepetu, anajiita "Actor"

Kweli? Ina maana amekosea au hajui tofauti ya Actor and Actress au ndo hivyo, ni ule uTZ wetu tu wa kupelekapeleka tu mambo yetu bora liende... Halafu si yeye tu kuna na mwingine nimemsahau sijui nani....Same story!!!

Badilikeni, kama mna mameneja watumieni, mhakikishe unapotoa kitu chako kifanane na umaarufu wenu!! No wonder watu wananwaponda!!!

Weekend njema.
 
Mh kwa uelewa wangu yuko sahihi kwa sababu unaposema Actor inamaanisha ni muiguzaji bila ya kujali jinsia , Hilo actress naona hata wazungu wenyewe hawalitumii sana .Lugha pana sana jamani tusikariri sana
 
mbona kawaida!" ............ mtoa mada naomba unisaidie kiswahili cha Actor na kiswahili cha Actress?

Grand PA
 
Mh kwa uelewa wangu yuko sahihi kwa sababu unaposema Actor inamaanisha ni muiguzaji bila ya kujali jinsia , Hilo actress naona hata wazungu wenyewe hawalitumii sana .Lugha pana sana jamani tusikariri sana

Acha kudanganya uma.
Wazungu wanatumia sana actress wanapoongelea muigizaji mwanamke.
 
The word actor refers to a person who acts regardless of gender, while actress refers specifically to a female person who acts;therefore a female can
be referred to by either
term. According to wikipedia mi haya mambo ya wazungu sielewi sana ila hayo ndo maelezo yao
 
Hao kiingereza chao ni kile cha kila baada ya neno wanatii "like" wanamshebeduo tu
 
Back
Top Bottom