Uchambuzi vifurushi vya halotel

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,844
40,203
Nimeviangalia havina tofauti yoyote na tigo ndo vile vile tu zikitofautiana ni mb chache na wameiga kale ka katabia ka tigo kusema kifurushi ni unlimited kumbe wanamaanisha unlimited speed. Kwa faida ya wengine

Internet siku
-Sh 250 utapata mb 50
-Sh 500 utapata mb 200

Internet wiki
-Sh 2000 utapata mb 400
-Sh 3000 utapata mb 600

Internet mwezi
-Sh 2000 utapata mb100
-Sh 5000 utapata 1gb
-Sh 10,000 utapata 3gb

Vifurushi hivyo hapo juu hawajasema kitu, kuna vifurushi ambavyo wanaviita unlimited

-sh 1000 utapata mb800 kwa siku
-sh 5000 utapata gb 1 kwa siku
-sh 15,000 utapata gb 2 kwa mwezi
-sh 25,000 utapata gb 5

mpaka hapo juu tayari wameshafeli, mtandao mpya ila vifurushi bora ya hao wa zamani.

vifurushi vya maongezi
hapa pia hamna jipya, labda hizo mb kuongezeka toka mb1 hadi 3

1. vya siku
-sh 400 unapata dk 6 sms 50 na mb3
-sh 600 unapata dk 12 sms 500 na mb5
-sh 800 unapata dk19 sms 1000 na mb8

2. vya wiki
-sh 2000 unapata dk30 sms 300 na mb60
-sh 4000 unapata dk 100 sms 1000 na mb60
-sh 10000 unapata dk 200 sms 1000 na mb60

*aliepanga hivyo vifurushi pia hakutumia akili hapa ukijiunga vifurushi viwili vya wiki vya 4000 kwa jumla ya 8000 unapata dk200 sms 2000 na mb120 ambazo ni nyingi kuliko kifurushi cha 10,000 kwa wiki. hivyo kifurushi cha 10,000 ni useless

3. vya mwezi
-sh 10,000 unapata dakika 160 sms 1500 na mb80
-sh 15,000 unapata dakika 300 sms 2500 na mb 300
-sh 20,000 unapata dakika 400 sms 3500 na mb 300
-sh 30,000 unapata dakika 550 sms 5500 na mb 500
-sh 50,000 unapata dakika 1000 sms 3000 na gb 1

*hapa pia ukinunua vifurushi viwili vya 15,000 unapata dakika 600, sms 5000 na mb 600 ambavyo ni vingi kuliko kifurushi cha 30,000 hivyo inafanya hicho kifurushi kisiwe na maana.

*hivyo hapo juu ni vifurushi vya mitandao yote mi si mpiga simu sana hivyo siwezi coment.

nimependa tu hawa jamaa wamekuja kutukumbusha basi letu jekundu liliopinduka zamani

je unafkiri Halotel wameleta mabadiliko?
 
-sh 1000 utapata mb800 kwa siku
-sh 5000 utapata gb 1 kwa siku

Sasa unakuwaje na Unlimited 2, inamaana sio unlimited.

Imenikumbusha kule kwenye basi jekundu kuna vifurushi viwili vya week vinakinzana sana
-Kuna cha 7000 wanasema Unlimited siku 7
-Na kuna cha 10,000/= unapata GB 4 kwa siku 7
 
ndio maana ya unlimited speed, basi jekundu wanakupa kama gb 2 kwa speed kubwa then wanadrop speed
 
Kwa hilo sema ukweli hamna kipya hapa, wale wale tu. Zantel itabaki kwa mimi kuwa na the best value for money kwenye mitandao yote.

yap nakubaliana na wewe, last time kujiunga kifurushi chao cha 1000 ulikuwa unapata kama 1.5gb hivi
 
Kwa mtandao mpya sikutegemea kama wangekuja kwa style hii. Kama hawatabadilika watakua kama Smart
 
Nilihisi kitu kama hiki.

TCRA lazima waweke mkono hapa.

Huwezi kuingilia ligi za wakubwa (tigo, voda na airtel) kirahisi na wakakuangalia tu.

Kwa mwendo huu, halotel watakufa kama smart, BoL na wengineo.

Sioni kichocheo cha kumuhamisha mtu toka mitandao mingine.
 
-sh 1000 utapata mb800 kwa siku

2. vya wiki
-sh 2000 unapata dk30 sms 300 na mb60

je unafkiri Halotel wameleta mabadiliko?

Sijaona mabadiliko yeyote hapo.

Nikiwa na vodacom napata MB 700 kwa 1000 tena bila kikomo japo speed inapungua.

Na hiko cha maongezi napata DK 26, SMS 500 na MB 60 kwa 1999.

Kwahiyo siwezi kuhama vodacom kwa style hii.
 
Asa mbona hawajanishawishi niache hii mitandao ninayotumia, sijui wametumia akili ya wapi hawa watu..!
 
nimeviangalia havina tofauti yoyote na tigo ndo vile vile tu zikitofautiana ni mb chache na wameiga kale ka katabia ka tigo kusema kifurushi ni unlimited kumbe wanamaanisha unlimited speed. kwa faida ya wengine

internet siku
-sh 250 utapata mb 50
-sh 500 utapata mb 200

internet wiki
-sh 2000 utapata mb 400
-sh 3000 utapata mb 600

internet mwezi
-sh 2000 utapata mb100
-sh 5000 utapata 1gb
-sh 10,000 utapata 3gb

vifurushi hivyo hapo juu hawajasema kitu, kuna vifurushi ambavyo wanaviita unlimited

-sh 1000 utapata mb800 kwa siku
-sh 5000 utapata gb 1 kwa siku
-sh 15,000 utapata gb 2 kwa mwezi
-sh 25,000 utapata gb 5

mpaka hapo juu tayari wameshafeli, mtandao mpya ila vifurushi bora ya hao wa zamani.

vifurushi vya maongezi
hapa pia hamna jipya, labda hizo mb kuongezeka toka mb1 hadi 3

1. vya siku
-sh 400 unapata dk 6 sms 50 na mb3
-sh 600 unapata dk 12 sms 500 na mb5
-sh 800 unapata dk19 sms 1000 na mb8

2. vya wiki
-sh 2000 unapata dk30 sms 300 na mb60
-sh 4000 unapata dk 100 sms 1000 na mb60
-sh 10000 unapata dk 200 sms 1000 na mb60

*aliepanga hivyo vifurushi pia hakutumia akili hapa ukijiunga vifurushi viwili vya wiki vya 4000 kwa jumla ya 8000 unapata dk200 sms 2000 na mb120 ambazo ni nyingi kuliko kifurushi cha 10,000 kwa wiki. hivyo kifurushi cha 10,000 ni useless

3. vya mwezi
-sh 10,000 unapata dakika 160 sms 1500 na mb80
-sh 15,000 unapata dakika 300 sms 2500 na mb 300
-sh 20,000 unapata dakika 400 sms 3500 na mb 300
-sh 30,000 unapata dakika 550 sms 5500 na mb 500
-sh 50,000 unapata dakika 1000 sms 3000 na gb 1

*hapa pia ukinunua vifurushi viwili vya 15,000 unapata dakika 600, sms 5000 na mb 600 ambavyo ni vingi kuliko kifurushi cha 30,000 hivyo inafanya hicho kifurushi kisiwe na maana.

*hivyo hapo juu ni vifurushi vya mitandao yote mi si mpiga simu sana hivyo siwezi coment.

nimependa tu hawa jamaa wamekuja kutukumbusha basi letu jekundu liliopinduka zamani

je unafkiri Halotel wameleta mabadiliko?

kwa vifurushi hivi sina mpango wa kuhamia
 
Sijaona mabadiliko yeyote hapo.

Nikiwa na vodacom napata MB 700 kwa 100 tena bila kikomo japo speed inapungua.

Na hiko cha maongezi napata DK 26, SMS 500 na MB 60 kwa 1999.

Kwahiyo siwezi kuhama vodacom kwa style hii.
mkuu hawa halotel kama ni hivi wamekosa ubumifu kwanza hii ni competetive market wao wamekuja hata ofa maalum hawana special bandle kama za whatsapp af vfurushi vyao vya tigo ni pumba kabisa ata welcome bandle hamna dah wafie mbali mim na tigo yangu coz nisipokua na salio nakula internet.org wao hivi vitu hamna na dah nawaonea huruma kwa investment yao kutokana na gap kubwa na hawa big three

kweli nimeamini usilolijua ni usiku wa giza mbona walisifiwa sama humu jf

#vivaTIGO
 
Kwahiyo wakang'oe minara yao waanze safari kabla hawajafukuzwa?
 
Back
Top Bottom