Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 - sera (tutawainua kiuchumi na kifikra)

Nov 6, 2016
72
185
MAPENDEKEZO KUHUSU SERA NA KAULI MBIU KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA - 2024 MKOA WA DAR ES SALAAM ( WILAYA YA KINONDONI )

Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA

PENDEKEZO LA KAULI MBIU
"TUTAWAINUA WANACHI KIUCHUMI NA KIFIKRA"


Mapendekezo yatakuja zaidi kwa maana ya matamshi.

MANTIKI YA KAULI MBIU
Changamoto kubwa zinawakabili wananchi zinatokana na hali duni ya kiuchumi na ukosefu wa maarifa ya kukabiliana na changamoto mbalimbali.

1. Tumekuwa na matatizo makubwa kwamba kuna wimbi la wananchi walalamishi kwa sababu macho yao hayaoni fursa zozote kiasi kwamba wageni wanakuja kufungua biashara hadi zile za chini kabisa, ukiona mchina anakaanga mihogo na wewe unaisifu mihogo yake kisa pilipili jua kwamba mchina amekuzidi akili ndogo sana, kuiboresha biashara. hivyo basi viongozi wanaotakiwa kushika hatamu kwenye ofisi zetu za serikali za mitaa wawe angalau wanajua kuhusu kuibua fikra za kiuchumi na kibiashara katika maeneo yetu ili uchumi uchagizwe kuanzia kwenye mitaa.

MAKALA ITAKUWA INAENDELEA, KAMA KUNALO LA KUONGEZEA NIFUATE INBOX TUONGEZE.

MWISHONI WA MWEZI NITAKABIDHI ANDIKO KAMILI KWA VIONGOZI WANGU KAMA MCHANGO KATIKA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024

Ndimi Comrade Ally Maftah
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM - Mkoa wa Dar es Salaam
Mjumbe Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi - Mkoa wa Dar es Salaam
0762212623

IMG_20240506_114817_082.jpg
 
Back
Top Bottom