uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,047
- 8,532
Jana niliangalia El classico lkn lengo langu kuu ilikuwa ni kutazama bwana mdogo ambaye amekuwa akiimbwa sana kwenye platform za social media
Jana nimeangalia mechi ukitoa zile goli alizofunga sijaona potential kubwa kwake hadi aanze kufaninishwa na Lampard au Zidane au maestro wengine
Jana nilivyomuona ana ubora kwenye kujipostion/ anajua wapi akae Ili aweze kupokea pasi pamoja na phiscality uwanjani
Ila anapoteza sana mipira
Hatoa accurate pass
Hakabi
Hana pace
Mwili wake ni ule wa mifupa mizito kwahiyo anawahi kuchoka
Mechi ya jana dogo alipotea kabisa shukrani kuingia kwa babu Modric alilainisha game
Nimekuwa nikisikiliza interview za Ancelot kuhusu magoli anayofunga Jude mara nyingi hata yeye anashangazwa hii maana yake hamtegemei sana
Je, kweli Jude ana ubora ambao mimi siuoni hadi aanze kuwekwa daraja moja na kina Zizou?