Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,601
- 10,100
Baada ya corona kuisha kulikua na inflation kubwa dunian marekani kupitia federal reserver waliamua ku-implement contraction monetary policy kwa kuongeza interest rate ili kupunguza fedha kwenye mzunguko na hatimaye kupunguza inflation
Madhara ya contraction monetary policy
Kuongeza interest rate ya asilimia 0.25% mwezi july 2023 ni msumari wa moto kwa wafanyabiashar duniani, na jumla inakua ni asilimia 5.5 tokea waanze mwaka 2021 ni ongezeko kubwa la interest rate ambalo halijawahi kutokea kwa miaka 22
Uhaba wa dollar unaondelea ni matokeo ya sera ya contraction monetary policy na ilichagizwa zaid pale interest rate ilipoongezwa tena july 2023 na itaendelea mpaka pale us federal reserves itakapoamua kua-adopt expansion monetary policy sio sawa kulaumu wakina mwigulu ni jambo amabalo lipo nje ya uwezo wao.
Mimi sio mwandishi mzuri mjitahid kuelewa hivyo hivyo
Madhara ya contraction monetary policy
- Kuongeza riba ya mikopo bank hii inatokana na ukweli kwamba commercial bank wanachukua mikopo central bank na kama interest rate ikiwa kubwa na wao wanapandisha interest rate ya kutoa mikopo kwa wafanyabiashara
- Kupunguza inflation Watu wakiwa hawana hela automatic bidhaa za vitu zinashuka na inflation ina shuka
- Kupunguza ukuaji wa uchumi, Sababu interest rate inakua ni kubwa wafanyabiashara nao wanapunguza kasi ya kuchukua mikopo