TZS 800m/acre yaweza kuwa sawa Kigamboni. Nitaeleza!!!!!

Wameiba. Na-propose itungwe sheria ya kunyonga wizi wa zaidi ya bn1

Inawezekana kabisa gharama ya mradi ikawa ni kubwa hadi kufanya shareholding value ya mwenye Ardhi iwe juu, lakini Kwa ukokotoaji kwamba shareholding value ya landowner ndo bei ya kiwanja, hili Mimi sioni Kama Lina mantiki
 
Nimeshindwa hata Kusoma heading inatosha so nakataaa tu... huwezi uza ardhi ya serikali eka moja kwa 800m.

afu sikia mimi nichangia kila mwezi ujue naweza kuja kukutafuna mpumbavu wewe
 
Ngumu kweli kumeza. Yaani kwa maelezo yako tu hayo itoshe kabisa kuamini thamani ya 800m/ha Kigamboni ni sahihi?? Hapana!!
Inahitaji maelezo zaidi tena katika lugha nyepesi hata sie wa taaluma nyingine tuelewe. Inawezekana una hoja ila sio kwa maandiko haya yatoshe kumsafisha Dr. Dau na NSSF. Tafadhali bana
 
Nssf tunambiwa ilikua na access na arthi yake kwa Nini iingie ubia na partner ambaye ni almost anachangia nothing na hii ingekubalika kama arthi yenyewe ingukua prime areas kama kariakoo au posta ambapo value ya arthi ni kubwa

Kinachoweza kuonekana hapa ni kukosekana kwa uzalendo na kukumbatia rushwa.Naamini sio kweli mwekezaji aliweka mfukoni hela zote alizolipwa na Nssf yaani ml.800×ekari alizouza Nssf. Lazima uongozi wa Nssf chini ya dr.Dau walikata kwanza cha juu walichokubaliana kuongeza na mwekezaji kubakia na hela ya makubaliano.Dr.Dau angekuwa mzalendo angetumia ardhi ya shirika waliyo nayo Kigamboni kutafutia mwekezaji na kama ingepungua ukubwa wangeweza kununua kwa bei zilizopo au kupitia msaada wa wilaya husika ya Temeke na kutafutia mwekezaji ambao wapo wengi tu.Haya yote yanayoendelezwa haswa na mleta uzi na baadhi ya wanasiasa wakafundishie vyuo vikuu.Hivi unadhani shirika la Nssf lingekuwa la Mengi,Mohamed Ent,Bakressa n.k.upumbavu huu wangeukubali?Tatizo la viongozi wakiwaona wananchi wamejinyamazia wanaamini hawaelewi kumbe hawajui wamechoka tu vituko vya nchi na hata wakipiga kelele hatua hazichukuliwi zaidi ya hao hao mafisadi kupandishwa vyeo na kupewa wadhifa mwingine.
 
Hapo ndipo ngoma nzito!!! Mwekezaji hajauza Ardhi, ameINVEST, yeye pamoja Na NSSF! Wote ni wabia! Ndio maana hiyo hoja ya TZS800m/acre haina mashiko hapo! Ukokotoaji umejikita kwenye anachomiliki Kama share yake kwenye ubia ati ndo bei ya ardhi!
 
Thamani ya fedha kwa ardhi ukiongeza gharama halisi za ujenzi wa mradi zitakazotolewa na mwekezaji zitadetermine idadi ya share za mwekezaji.Vinginevyo angeweza kuithaminisha ardhi yake hata kwa ml.nne.
 
Hapo cha kuangalia ni kama gharama za mradi ziko inflated na hivyo kupelekea share ya mwenye land kuwa kubwa!
 
Ngumu kweli kumeza. Yaani kwa maelezo yako tu hayo itoshe kabisa kuamini thamani ya 800m/ha Kigamboni ni sahihi?? Hapana!!
Inahitaji maelezo zaidi tena katika lugha nyepesi hata sie wa taaluma nyingine tuelewe. Inawezekana una hoja ila sio kwa maandiko haya yatoshe kumsafisha Dr. Dau na NSSF. Tafadhali bana

Simjui DAU na wala hanijui! Hoja yangu ni kwamba TZS800m/acre sio bei ya ardhi n shareholding value kwenye mradi! Mwenye Ardhi hajauza ameINVEST jointly na NSSF! Ungesoma maelezo yangu ungeelewa ninachokimaanisha ila Kwa sababu you have that ufisadi syndrome in your mind, itakuwa ngumu kunielewa
 
Je unafahamu kuwa PPP ni sehemu ya Public Procurement arrangement?

Au unaposikia "manunuzi" unaelewa ni kitu gani?
Manunuzi Kwa maana ya kununua Ardhi na mwenye Ardhi kulipwa chake, haikufanyika! Wote wamewekeza
 
Unaandika pumba tu unafikiri watu wengine hawana akili za kujua kinachoendelea??

Ungejaribu kuutendea Ubungo wako haki angalau ukajenga hoja! Mimi nimetoa MTAZAMO wangu kwa uelewa wangu, iwe kuna ufisadi au hakuna, lakini TZS800m sio kwamba ndo bei ya Ardhi kwa eka, ila ni shareholding value ya project cost
 
Sihitaji kujenga hoja kwa mambo ya kipumbavu.
 
Kumekuwa na hoja nyingi sana kuhusiana na miradi miwili ya NSSF, iliyoingia na Azimio Housing kule Kigamboni na Arumeru-Arusha! Hoja kubwa imejikita katika project ya Kigamboni kwamba ni kwa vipi eka moja iuzwe kwa TZS 800m? Hii bei inaweza kuwa sawa ama si sawa kutegemea na mchanganuo upi unatumia katika miradi ya ubia katika milki ardhi ( Real Estate Joint Venture Projects)!!!

1. Ukiangalia kwa mtazamo finyu (narrow perception), hizi pesa ni kubwa sana, lakini ukiliangalia suala hili katika mtazamo mpana (wider perception), hii pesa yaweza hata kuwa kidogo!!

2. Bahati mbaya sana hapa Tanzania hatuna guidelines au standards ambazo labda zingesimamiwa na Real Estate Regulatory Authorities, kuhusiana na viwango ama uwiano katika ubia ( Joint Venture Partnership and shares in Real Estate Projects), matokeo yake hata Wakaguzi wanapoikagua hii miradi ama mashirika husika yaliyo katika miradi hii ya ubia, wanakuwa hawana mwongozo thabiti!!

3. Mimi kama mwekezaji binafsi nina eneo langu mfano eka 100, ninahitaji kufanya ubia na shirika X, itabidi tukubaliane mezani nini mchango wangu na nini mchango wa shirika katika asilimia( Share Equity ratios).

4. Kiutamaduni (traditionally), kumekuwa Na mazoea ( rule of thumb), kwamba kinachofanyika kwenye soko ( market behavior), ni Mwenye ardhi awe na kati ya 25% -30% na inayobaki ambayo ni kati ya 75%-70% ndo ya mwendelezaji( Project Financier)!

5. Katika kugawana hizo asilimia za Nani amiliki nini, inaweza kuthaminishwa ardhi (market value assessment- valuation), na thamani itakayopatikana ikawa ndo equity share ya mwenye ardhi, ambayo ni ama 25% au 30%? na kinachobaki ndo cha project Financier! Je, hii iko sawa wataalamu wa investment analysis? Anyway, kama nilivyosema, hatuna regulations on this, it is just dancing on unregulated laws!!! Na hapa ndo wengi walitegemea kifanyike mfano Kigamboni ambapo hiyo TZS800/acre isingefika huko!

6. MTAZAMO wangu ambao naamini ndio kilichotumika Kigamboni project na Arumeru ni kwamba ilitumika ile approach ya kuthaminishwa mradi wote ni kiasi gani, then ndo zinakuja hizo formular za 30:70, ambapo katika Hilo ukichukua share ya huyo mwenye 30% ukaifanya ndo bei ya Ardhi yake kama ilivyofanyika kwenye no.5 hapo juu, bei kwa eka moja lazima iwe juu, over and above the market price!!!

7. Katika mtazamo huu no.6 hapo juu, ambao unaifanya bei ya ardhi kuwa juu, bado inaweza kuwa juu zaidi Na zaidi hasa kutegemea Na ukubwa wa mradi ( magnitude of the project)! Mfano mradi wenye jengo la ghorofa moja na mwingine wenye jengo la ghorofa 20, katika ardhi hiyo hiyo, itakuwa na thamani tofauti za mradi (project value), na hivyo hata ule uwiano japo utakuwa sawa lakini utakuwa na thamani tofauti, Na hivyo kwa ardhi hiyo hiyo utaleta thamani ya ardhi tofauti Na thamani toafuti ya eka!!

The general rule ni kwamba mwenye ardhi hajauza ardhi yake na hivyo masuala ya bei elekezi hayapo hapo! Mradi umeendelezwa kwenye ardhi yake Na hivyo ana share katika mradi husika Na si katika ardhi! He is also an investment partner in this case!! Sasa ukiangalia juu juu, unachukua thamani au stake yake katika mradi na kugawa kwa zile ekari, hapo kazima bei ya kila eka moja iwe ya kifisadi

Na alikuwa anafanya huo upatu kwa hela ya nani?
 
Back
Top Bottom