TZS 800m/acre yaweza kuwa sawa Kigamboni. Nitaeleza!!!!!

Katikomile

JF-Expert Member
Jul 12, 2007
471
74
Kumekuwa na hoja nyingi sana kuhusiana na miradi miwili ya NSSF, iliyoingia na Azimio Housing kule Kigamboni na Arumeru-Arusha! Hoja kubwa imejikita katika project ya Kigamboni kwamba ni kwa vipi eka moja iuzwe kwa TZS 800m? Hii bei inaweza kuwa sawa ama si sawa kutegemea na mchanganuo upi unatumia katika miradi ya ubia katika milki ardhi ( Real Estate Joint Venture Projects)!!!

1. Ukiangalia kwa mtazamo finyu (narrow perception), hizi pesa ni kubwa sana, lakini ukiliangalia suala hili katika mtazamo mpana (wider perception), hii pesa yaweza hata kuwa kidogo!!

2. Bahati mbaya sana hapa Tanzania hatuna guidelines au standards ambazo labda zingesimamiwa na Real Estate Regulatory Authorities, kuhusiana na viwango ama uwiano katika ubia ( Joint Venture Partnership and shares in Real Estate Projects), matokeo yake hata Wakaguzi wanapoikagua hii miradi ama mashirika husika yaliyo katika miradi hii ya ubia, wanakuwa hawana mwongozo thabiti!!

3. Mimi kama mwekezaji binafsi nina eneo langu mfano eka 100, ninahitaji kufanya ubia na shirika X, itabidi tukubaliane mezani nini mchango wangu na nini mchango wa shirika katika asilimia( Share Equity ratios).

4. Kiutamaduni (traditionally), kumekuwa Na mazoea ( rule of thumb), kwamba kinachofanyika kwenye soko ( market behavior), ni Mwenye ardhi awe na kati ya 25% -30% na inayobaki ambayo ni kati ya 75%-70% ndo ya mwendelezaji( Project Financier)!

5. Katika kugawana hizo asilimia za Nani amiliki nini, inaweza kuthaminishwa ardhi (market value assessment- valuation), na thamani itakayopatikana ikawa ndo equity share ya mwenye ardhi, ambayo ni ama 25% au 30%? na kinachobaki ndo cha project Financier! Je, hii iko sawa wataalamu wa investment analysis? Anyway, kama nilivyosema, hatuna regulations on this, it is just dancing on unregulated laws!!! Na hapa ndo wengi walitegemea kifanyike mfano Kigamboni ambapo hiyo TZS800/acre isingefika huko!

6. MTAZAMO wangu ambao naamini ndio kilichotumika Kigamboni project na Arumeru ni kwamba ilitumika ile approach ya kuthaminishwa mradi wote ni kiasi gani, then ndo zinakuja hizo formular za 30:70, ambapo katika Hilo ukichukua share ya huyo mwenye 30% ukaifanya ndo bei ya Ardhi yake kama ilivyofanyika kwenye no.5 hapo juu, bei kwa eka moja lazima iwe juu, over and above the market price!!!

7. Katika mtazamo huu no.6 hapo juu, ambao unaifanya bei ya ardhi kuwa juu, bado inaweza kuwa juu zaidi Na zaidi hasa kutegemea Na ukubwa wa mradi ( magnitude of the project)! Mfano mradi wenye jengo la ghorofa moja na mwingine wenye jengo la ghorofa 20, katika ardhi hiyo hiyo, itakuwa na thamani tofauti za mradi (project value), na hivyo hata ule uwiano japo utakuwa sawa lakini utakuwa na thamani tofauti, Na hivyo kwa ardhi hiyo hiyo utaleta thamani ya ardhi tofauti Na thamani toafuti ya eka!!

The general rule ni kwamba mwenye ardhi hajauza ardhi yake na hivyo masuala ya bei elekezi hayapo hapo! Mradi umeendelezwa kwenye ardhi yake Na hivyo ana share katika mradi husika Na si katika ardhi! He is also an investment partner in this case!! Sasa ukiangalia juu juu, unachukua thamani au stake yake katika mradi na kugawa kwa zile ekari, hapo kazima bei ya kila eka moja iwe ya kifisadi
 
Sijakuelewa inamaana kama hajauza hiyo 800M/acre ni ya nini?
 
Share yake kwenye mradi ilikokotolewa na kisha kulinganisha kama ndo thamani ya ardhi, then ndo bei hiyo ikapatikana
 
Mkuu acha hizo stori bana, kama mmepiga ww jiandae, Tanzania hatuna tatizo la ardhi. Swali la muhimu ni kwa nin ufikirie kufanya joint venture kama unaona ina cost implication kubwa, kwa nini cost cost sio kigezo kwako? kwamba sababu una fund ambayo haina wenyewe? Kuna return potential gani kwamba lazima hiyo project iwe hapo mlipokusudia? hiz ni joint venture zenye fraud implication, kwamba uko kwenye maamuz, unaona kuna funding substantial unailazimisha iende kwenye eneo lako au eneo mtakaloshirikiana na wengine, basi.
 
Ni tatizo la copy n paste

Hiyo ni value ya kiwanja/property mradi utakapo kamilika
 
Ni kweli baada ya kusoma hoja ya mradi wa Arumeru kuwa ilipaswa kuwa ni shs laki moja hadi milioni kwa heka niliona kuna tatizo. Kwani kwa eneo husika hata kama ni bei ya fidia isingekuwa hiyo. Nimepata picha japo nilikuwa nimeshakuweka ktk kundi la kutetea wahusika lkn sasa nimeelewa.Asante sana your a great thinker!!!.
 
Let's say project it's 100 shillings
And 70% ya project financial which is 70 shillings
30% it's land owner which is equal to 30 shillings
By that formula your very right mkuu
But my question is before you do any project unakua na estimated cost ya project nzima ambayo land it's inclusive
Sasa why unafikiria kununua land ya 800m while in real sense una uwezo wa kununua hyo ardh wewe mwenywe. Kwa low price and the whole project cost inapungua
Tatzo sio mil 800 tatzo ni kwann ardh inunnuliwe kwa ghrama hyo kubwa hakukua na maeneo mengne ya kupata ardh na why awe huyo tu
 
Mkuu acha hizo stori bana, kama mmepiga ww jiandae, Tanzania hatuna tatizo la ardhi. Swali la muhimu ni kwa nin ufikirie kufanya joint venture kama unaona ina cost implication kubwa, kwa nini cost cost sio kigezo kwako? kwamba sababu una fund ambayo haina wenyewe? Kuna return potential gani kwamba lazima hiyo project iwe hapo mlipokusudia? hiz ni joint venture zenye fraud implication, kwamba uko kwenye maamuz, unaona kuna funding substantial unailazimisha iende kwenye eneo lako au eneo mtakaloshirikiana na wengine, basi.
Pole sana, Mimi Sipo NSSF, nimetoa MTAZAMO wangu na wala siwatetei NSSF ndo ma'am nikasema inaweza kuwa, sijasema ni halali!!
 
Let's say project it's 100 shillings
And 70% ya project financial which is 70 shillings
30% it's land owner which is equal to 30 shillings
By that formula your very right mkuu
But my question is before you do any project unakua na estimated cost ya project nzima ambayo land it's inclusive
Sasa why unafikiria kununua land ya 800m while in real sense una uwezo wa kununua hyo ardh wewe mwenywe. Kwa low price and the whole project cost inapungua
Tatzo sio mil 800 tatzo ni kwann ardh inunnuliwe kwa ghrama hyo kubwa hakukua na maeneo mengne ya kupata ardh na why awe huyo tu

Ardhi haijauzwa ipo katika ubia!
 
Share yake kwenye mradi ilikokotolewa na kisha kulinganisha kama ndo thamani ya ardhi, then ndo bei hiyo ikapatikana
Kwa hiyo akilipwa hiyo hadai tena au anakuwa na share gani tena au yeye Ana inject kiasi gani?
 
Akilipwa na nani? Azimio Housing na NSSF wote ni wabia katika huo mradi chini ya kampuni ya HIFADHI BUILDERS kama sikosei! Wote wamewekeza, na at the end of the day wanagawana dividends!!

Nafikiri ni kwamba hoja inajengwa kwa hisia za kwamba kuna ufisadi lakini mimi nimejaribu kuangalia hiyo thamani ya TZS800m/acre si kwamba ni thamani ya Land kiuhalisia!!

Kuna issues mbili hapa, SHAREHOLDING VALUE & SHAREHOLDING STRUCTURE!!

Kama tunakubaliana kwamba shareholding structure say 30:70 iko sawa then shareholding value ya land owner ni sawa, ila tatizo Labda kama project cost/value ilikuwa inflated hapo ndo tatizo but in this regard, we are not being fair kwa kuangalia eti 800m/acre ndo bei ya kiwanja!!
 
Kumekuwa na hoja nyingi sana kuhusiana na miradi miwili ya NSSF, iliyoingia na Azimio Housing kule Kigamboni na Arumeru-Arusha! Hoja kubwa imejikita katika project ya Kigamboni kwamba ni kwa vipi eka moja iuzwe kwa TZS 800m? Hii bei inaweza kuwa sawa ama si sawa kutegemea na mchanganuo upi unatumia katika miradi ya ubia katika milki ardhi ( Real Estate Joint Venture Projects)!!!

1. Ukiangalia kwa mtazamo finyu (narrow perception), hizi pesa ni kubwa sana, lakini ukiliangalia suala hili katika mtazamo mpana (wider perception), hii pesa yaweza hata kuwa kidogo!!

2. Bahati mbaya sana hapa Tanzania hatuna guidelines au standards ambazo labda zingesimamiwa na Real Estate Regulatory Authorities, kuhusiana na viwango ama uwiano katika ubia ( Joint Venture Partnership and shares in Real Estate Projects), matokeo yake hata Wakaguzi wanapoikagua hii miradi ama mashirika husika yaliyo katika miradi hii ya ubia, wanakuwa hawana mwongozo thabiti!!

3. Mimi kama mwekezaji binafsi nina eneo langu mfano eka 100, ninahitaji kufanya ubia na shirika X, itabidi tukubaliane mezani nini mchango wangu na nini mchango wa shirika katika asilimia( Share Equity ratios).

4. Kiutamaduni (traditionally), kumekuwa Na mazoea ( rule of thumb), kwamba kinachofanyika kwenye soko ( market behavior), ni Mwenye ardhi awe na kati ya 25% -30% na inayobaki ambayo ni kati ya 75%-70% ndo ya mwendelezaji( Project Financier)!

5. Katika kugawana hizo asilimia za Nani amiliki nini, inaweza kuthaminishwa ardhi (market value assessment- valuation), na thamani itakayopatikana ikawa ndo equity share ya mwenye ardhi, ambayo ni ama 25% au 30%? na kinachobaki ndo cha project Financier! Je, hii iko sawa wataalamu wa investment analysis? Anyway, kama nilivyosema, hatuna regulations on this, it is just dancing on unregulated laws!!! Na hapa ndo wengi walitegemea kifanyike mfano Kigamboni ambapo hiyo TZS800/acre isingefika huko!

6. MTAZAMO wangu ambao naamini ndio kilichotumika Kigamboni project na Arumeru ni kwamba ilitumika ile approach ya kuthaminishwa mradi wote ni kiasi gani, then ndo zinakuja hizo formular za 30:70, ambapo katika Hilo ukichukua share ya huyo mwenye 30% ukaifanya ndo bei ya Ardhi yake kama ilivyofanyika kwenye no.5 hapo juu, bei kwa eka moja lazima iwe juu, over and above the market price!!!

7. Katika mtazamo huu no.6 hapo juu, ambao unaifanya bei ya ardhi kuwa juu, bado inaweza kuwa juu zaidi Na zaidi hasa kutegemea Na ukubwa wa mradi ( magnitude of the project)! Mfano mradi wenye jengo la ghorofa moja na mwingine wenye jengo la ghorofa 20, katika ardhi hiyo hiyo, itakuwa na thamani tofauti za mradi (project value), na hivyo hata ule uwiano japo utakuwa sawa lakini utakuwa na thamani tofauti, Na hivyo kwa ardhi hiyo hiyo utaleta thamani ya ardhi tofauti Na thamani toafuti ya eka!!

The general rule ni kwamba mwenye ardhi hajauza ardhi yake na hivyo masuala ya bei elekezi hayapo hapo! Mradi umeendelezwa kwenye ardhi yake Na hivyo ana share katika mradi husika Na si katika ardhi! He is also an investment partner in this case!! Sasa ukiangalia juu juu, unachukua thamani au stake yake katika mradi na kugawa kwa zile ekari, hapo kazima bei ya kila eka moja iwe ya kifisadi
Blah blah blah
 
Kwa hoja yako hii unataka kutuaminisha ni halali Dk.Dau kununua ekari moja kwa mil mia nane?
 
Nssf tunambiwa ilikua na access na arthi yake kwa Nini iingie ubia na partner ambaye ni almost anachangia nothing na hii ingekubalika kama arthi yenyewe ingukua prime areas kama kariakoo au posta ambapo value ya arthi ni kubwa
 
Back
Top Bottom