Acha kutufokea. Mwenyewe umeandika kuwa haitumii flash. Kama ina USB ports na haitumii flash basi hiki ni kimeoView attachment 2452938
TV ya mtumba inchi 24 inauzwa.
*Button zake za kuwashia/kuongeza/kupunguza sauti ni za kugusa.
*HAINA REMOTE
*HAITUMII FLASH
*Bei: 150,000/- (maongezi yapo)
*Location: Kiwalani, Dar es salaam.
*WhatsApp/simu: 0656 203 045
Mimi nimesema haitumii flash. Niambie wapi nimeandika habari ya USB PORTS ?. Mbona wewe na Bujibuji Simba Nyamaume mnanilisha maneno ?Acha kutufokea. Mwenyewe umeandika kuwa haitumii flash. Kama ina USB ports na haitumii flash basi hiki ni kimeo